Kongole AZAM TV kwa kuachana na mambo ya "UDINI"

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,683
2,907
IMG_9887.jpg

Hawa mabwana miaka iliyopita walikua wanajionyesha wazi wazi kuwa wana mlengo wa dini ya kiislam of which sio kitu kibaya kama ndio lengo lao.

Walikua hawaruahi contents za sikukuu ya krismas vile ipasavyo / kwa ukubwa wa sherehe husika

This time Around naona wameshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi ambayo husherehekewa na Wakristo wengi duniani.

Wamekua na matangazo mengi na masherehekeo mengi na hivyo kuonesha mutuality ya hali ya juu sana

Je umeona nini kwa upande wako?
 
Wakristo kwa kulalamika kila kitu mnalalamika raisi akiwa muislamu akimteua Ahmed Ali kwa waziri au mkurugenzi mnaanza kulalamika ila magufuli wakati anateua kina kalimani kimya baraza la necta tokea lianzishwe halijawahi kuongozwa na muislamu mama samia kafanya mabadiliko kidogo mkaanza kelele mdini ila wakristo bwana yaani kila kitu nchi hii mnastahili nyinyi magufuli aliongoza waislamu walikaa kimya ila mama samia kila siku baraza la maaskofu linatoa tamko haya papa kasema muowane.
 
View attachment 2852524

Hata mimi nimeshangaa msimu huu wa Christmas...udini wa Azam ulinipelekea nikang'oa king'amuzi cha Azam kwenye Lodge zangu
 
Wakristo kwa kulalamika kila kitu mnalalamika raisi akiwa muislamu akimteua Ahmed Ali kwa waziri au mkurugenzi mnaanza kulalamika ila magufuli wakati anateua kina kalimani kimya baraza la necta tokea lianzishwe halijawahi kuongozwa na muislamu mama samia kafanya mabadiliko kidogo mkaanza kelele mdini ila wakristo bwana yaani kila kitu nchi hii mnastahili nyinyi magufuli aliongoza waislamu walikaa kimya ila mama samia kila siku baraza la maaskofu linatoa tamko haya papa kasema muowane.
kaolewe wewe kama unaona papa yuko sahihi
 
Wewe ni mpumbavu,Kuna watu wanalalamika hapa Duniani kama waislamu? Huoni Gaza huwa sipati picha nyie masheikh mngekuwa mnamiliki uchumi na technologia ya Dunia kama wakristo wangeishi.
 
Ongelea Tanzania achana na mambo ya hamas na gaza au unataka utolewe mahari kutimiza amri ya papa nyie dini yenu ndio iko sahihi kila mwaka linatoka toleo jipya kama vitabu vya TIE vile haya papa kasema muowane huko timiza agizo la boss wako.
 
View attachment 2852524
Hawa mabwana miaka iliyopita walikua wanajionyesha wazi wazi kuwa wana mlengo wa dini ya kiislam of which sio kitu kibaya kama ndio lengo lao.

Walikua hawaruahi contents za sikukuu ya krismas vile ipasavyo / kwa ukubwa wa sherehe husika

This time Around naona wameshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi ambayo husherehekewa na Wakristo wengi duniani.

Wamekua na matangazo mengi na masherehekeo mengi na hivyo kuonesha mutuality ya hali ya juu sana

Je umeona nini kwa upande wako?
Hilo la krismasi siliungi mkono, ni sikukuu ya kipagani.
 
Back
Top Bottom