Tatizo nauli mkuu ..shirika halina ata offer ndogo ndogo kwa abiria wake ,that why watu wengi wanashindwa ku afford
Lakini kumbuka Precision Air nauli zilikua juu sana kupita za ATCL na bado watu walizimudu. Ni kuamua tu. La sivyo acha tusubiri Treni ya mwendo kasi nasisi tutatesa kivyetu!!!!Kweli tatizo nauli zao si rafiki wajaribu ku adjust kidogo mbona wenzao fast jet walimudu kwa nauli rafiki ambapo wengi tulifaidika? Sasa ATCL mpaka mtu wa kawaida mnyonge na masikini wa Magufuli ukune kichwa sana kumudu nauli zao
Tatizo ni kuua washindani wake, katika Biashara huwezi kujipima kama huduma ni zuri au la bila kua na mpizani wa dhati katika hiyo biashara, hiyo nikama propaganda tu. Mkubalie fast jet umpe na hizo route zote ndani ya mwezi moja utaona Atcl niwababaishaji I swear...
Hivi fastjet alikuwepo hapa Tanzania kwa miaka mingapi huku ATC akiwa hoi na hakuweza kutupa huduma zaidi ya kuchangua njia zenye abiria wengi tu Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro? Wajinga ndio waliwao.
Kulikuwa na haja gani ya kuwafukuza kama nyie mnaweza kutoa huduma bora na kwenda huko wao wasiko kwenda?
Fastjet ilikuwa ni Low Budget Airline na ndiyo maana imeshindwa kwani operational costs ziko juu mno na ndiyo maana walishindwa.
Eti toka aingie hujanufaika na chochote..
Mkuu endelea kupanua mdomo atakuja kukuingizia tonge mdomoni kwako.
Pongezi kwa Air Tanzania, pia hilo suala la nauri nafikiri wahusika watalifanyia kazi ili mambo yawe mazuri zaidi
Wanafanya Biashara mkuu, Hii Biashara wanavyocharge wanaangalia vitu vingi, muda unaosafiri, msimu mliopo mfano high au low,mshindani anafanyeje, garama za uendeshaji nk...ukitaka kufurahia usafiri wa anga kata ticket miezi mitatu kabla ya safari ndio utaona unafuu, sio unasafiri kesho unakata ticket leo,,lazima iwe gali tena saana
Si lakini Mkuu anapata kiki za kisiasa mengine badayeWakati unafurahia hiyo exceptions ya kupanda dreamliner kwa safari za ndani, elewa pia kuwa haipo kwa afya ya chombo chenyewe
Wataalamu wanasema ndege huwa zinachoka na routine ya kupaa na kutua, na kila Aina ya ndege Ina idadi yake ya hizo cycle za kupaa na kutua, idadi ya cycle hupungua Kutokana na kadiri ukubwa wa ndege unavoongezeka, kwa maana hiyo dreamliner haviwezi kuwa Sawa na bombardier kwa idadi ya cycles,
Inasemekana ili dreamliner uweze kurudisha pesa vizuri inatakiwa ikae angani at least masaa kumi kwa siku, Maana yake ni kuwa ufanye cylce Moja tu kwa siku
Kutendo Cha kurusha dreamliner kweli kwa africa kinafanywa Tanzania tu kama unavosema, technically kitaifanywa iwe scraped ikiwa bado Mpya kabisa
Kipya kinyemi!
Nimewahi sema siku hizi wewe jamaa umepatiwa kîtengo serikalini....Waungwana wa JF nawasalimu,
Nipo safarini kuelekea Kigoma kikazi. Hivi sasa tunatua Uwanja wa Ndege wa Tabora kwakuwa tunapitia hapa kwenda Kigoma. Tupo na Ndege TC 128 aina ya bombardier. Nalazimika kulipongeza Shirika letu la Ndege kwa kuimarisha huduma.
Nimekuwa nikisafiri na Ndege za AirTanzania kwa muda mrefu hapa nchini na hata nje ya nchi. Nikiri kuwa kwa safari za ndani ya nchi,huduma zimeimarika sana. Kuanzia Cabin Crew, Marubani na Watumishi wengine wa AirTanzania, ukarimu na umakini unatamalaki.
Kwa safari zangu za Kigoma kwa Ndege za kuelekea Burundi na kupitia Tabora, leo nimeshuhudia Ndege yetu ikibakiwa na siti tupu tatu tu. Ni jambo la kutia faraja na kuonyesha wananchi kuridhishwa na huduma za AirTanzania. Kongole sana kwenu AirTanzania!
Kuimarika kwa huduma za AirTanzania ni kuisimamia kwa vitendo ndoto ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli aliyejitoa kwa uwezo na maarifa yake yote kuhakikisha AirTanzania inaimarika na kuwa nembo yetu kitaifa.
Najivunia AirTanzania, najivunia kuwa mtanzania!
Yes in S.Africa and Morroco we are using BoeingThe only country in Africa in fly Dreamliner kwa safari za ndani.... Thanks Mr President
Hama nchi basi huyo ndo RaisKwa nyongeza tu kama nyie ndo wanasheria tunaowategemea kwenye nch hii naiman kuna jambo haliko sawa haiwezekan hata wewe msomi tunakutegemea leo unasema jiwe anatimiza ndoto zake c kwel kbs
Ndege zetu nzuri sana, uwekezaji mkubwa ila customer service ya ATCL bado sana. Wajitahidi kupokea simu za customer care na kujibu emails, dunia kw sasa ni digital waendeshe shirika kisasa.
Mfano: kubadili flight sio lazma nitembelee duka la ATCL mambo yawe mtandaoni tujihudumie huko.
La mwisho ambali bado ni mwiba ni NAULIIIIIIIIII . Jamani NAULI za ATCL bado kubwaaa licha ya kuwa na soko lote la TZ peke yao ila bado hakuna nafuu.
Mbona linapiga loss za 100b+ kila maaka tangu kufufuliwa....Ufanisi wa biashara aupimwi kwa testimony za abiria wake especially pale ambapo route zenyewe hana mshindani.
Watoe financial statement kama wana biashara nzuri hiyo ndio njia kupima mafanikio yao.
We biashara gani unaona mkurugenzi kutwa anajitokeza akiwa na sijui mara mzungu anaewaambia wapeleke ndege Gatwick mara balozi wa Nigeria. Kwenye akili zake kupata route za nje ni sawa na mkulima kupata accesss ya soko ya mazao yake.
Someone needs to tell that guy safari ya ndege ni demand ya hiyo route kutokana na ushahidi wa mahitaji ya abiria, sasa kuja mbele na mabalozi kuutangazia umma ya kuwa balozi anashauri waende nchini kwao ndio evidence ya market intelligence hiyo.
Yule jamaa sio mfanyabiashara i tell you na nitashangaa sana kama shirika lina faida nzuri sio kwa sababu naliombea mabaya, la hasha watu badala ya kulipa changamoto za kuboresha biashara wanaleta siasa za kupongezana mambo yasiyo na msingi na wala tija kwenye kuwaimarisha kifikra management.
Kapange mstari lango la ikulu huwa kuna mgawo kila ijumaa jioniHovyoooo! kwa lipi toka awe Rais sijanufaika kwa lolote nilokuwa nayapata enzi za JK ni yaleyale, yani jamii yangu yoteee hatuoni lolote we're still the same.
.
2020 nendeni nae gamboshi mkaloge sio Ikulu
Wanaona raha kurusha dreamliner locally kumbe it is inefficient.Wakati unafurahia hiyo exceptions ya kupanda dreamliner kwa safari za ndani, elewa pia kuwa haipo kwa afya ya chombo chenyewe
Wataalamu wanasema ndege huwa zinachoka na routine ya kupaa na kutua, na kila Aina ya ndege Ina idadi yake ya hizo cycle za kupaa na kutua, idadi ya cycle hupungua Kutokana na kadiri ukubwa wa ndege unavoongezeka, kwa maana hiyo dreamliner haviwezi kuwa Sawa na bombardier kwa idadi ya cycles,
Inasemekana ili dreamliner uweze kurudisha pesa vizuri inatakiwa ikae angani at least masaa kumi kwa siku, Maana yake ni kuwa ufanye cylce Moja tu kwa siku
Kutendo Cha kurusha dreamliner kweli kwa africa kinafanywa Tanzania tu kama unavosema, technically kitaifanywa iwe scraped ikiwa bado Mpya kabisa