mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
ccm oyeeeeeeeeeee
ccm oyeeeeeeeeeee
TBC..Televisheni ya Taifa inaonesha kongamano la vijana wa vyuo vikuu wa CCM.
Ni aibu na fedheha kwa chombo cha Umma kutumika kisiasa au kutumiwa na wanasiasa.
Ni chombo cha Umma, inafaa kitumiwe kueneza maslahi ya Umma si maslahi ya Chama tawala. Chama tawala au Chama chochote si umma bali sehemu ya umma.
TBC igeni mfano wa VOA, BBC, Press Tv etc na huo ushabiki, waachieni Radio Uhuru

Umoja wa Wanafunzi CCM Vyuo Vikuu umeandaa Kongamano katika Ukumbi wa Mlimani City,Wahudhuliaji ni pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara Mzee Mangula,Mwenyekiti wa CCM-Dsm Mzee Madabida,Katibu Uenezi Taifa Nape Nnauye na Mama Tibaijuka.
Moja ya wazungumzaji ni Steve "Nyerere" ambaye yeye amesema kuwa Katiba Mpya pendekezwa itawasaidia wasanii wale milo mitatu,Wapo tayari kuzunguka nchi nzima na viongozi wa CCM ili kuipigia kampeni Rasimu ya pili ya BMK.