Kongamano vijana wa Mkoa wa vyuo Vikuu TBC1

Kongamano vijana wa Mkoa wa vyuo Vikuu TBC1

Ninajaribu kuangalia kama nitaona ubunifu na mawazo huru toka kwa vijana wa ccm. Kwa bahati mbaya ninachokiona ni ile tabia ya tokea kwa Nyerere kuwalisha watu kauli mbiu bila kujenga hoja za ushawishi. Nimemsikiliza huyu katibu nadhani wa vijana toka moshi akisoma tu hasara za serekali3 kama zilivyoainishwa na tume ma kisha akasoma faida za serekali 2 tu kama zilivyoainishwa na tume. Najiuliza kama sio maigizo mbona hakusoma hasara za serekali 2 na faida za serekali 3!?

Labda sio lazima asome nipendavyo mimi, lakini kipindi nadhani kinaongozwa na wasomi na taswira ya taifa letu kwa wasomi. Hivi kwa,kuwasomea watu faida za muundo unaoutaka bila kuwaa
 
hivi TIBAIJUKA ni profesa? Mbn anaongea vitu vyepesi sn!

Uprofesa ni Utabiri. Prof TIBAIJUKA alitumia uprofesa wake kumshauri LISSU kuwa akubali warudi Bungeni. Kukataa kwake Lissu hakujamsaidia na Katiba imepita. Kwa hiyo TIBAIJUKA kadhihirisha Uprofesa wake.
 
No creative and innovative ideas at all,just CCM talking points and political posturing as usual. Youth means new and innovative ideas but CCM youths equates old and programmed ideas. Nothing new there!
 
Hao wanaojiita wanafunzi wasomi wa vyuo vikuu, sijui kama usomi wao unaisaidia jamii na wao wenyewe!? Mtu yeyote aliyesoma hat siku moja hawezi kuishabikia ccm inayoiingiza nchi kaburini tukiwa tunaona, nchi hii haina wasomi ila ina watu waliofanikiwa kukariri na kudesa wakafika hapo walipo. Ila unaweza kukutu mtu aliyeishia form 4 ni mwerevu kuliko hawa wasomi wa ccm
 
hivi TIBAIJUKA ni profesa? Mbn anaongea vitu vyepesi sn!

Katika Chama Chetu mwenye elimu ni yule mwenye madaraka..professor wa maandiko yupo sawa na professor mganga wa kienyeji.. Hatuhitaji elimu yako tunahitaji utuunge mkono kwenye lolote lile hata kama huliamini au lina kukwaza. Sitaki uhamaki kuwa Tibaijuka ana ongea vitu vyepesi Nooo!! Vizito akaongelee darasani kwa wenye weledi wenzake akifika kwetu akili zake ni kama zetu!!
 
Hii ni kweli kabisa! Prof Maji Marefu hatofautiani na Prof wa uchumi, yaani hii ni hatari sana!
 
Back
Top Bottom