Kongamano la Wanataaluma Dar Limeiva! Dec | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la Wanataaluma Dar Limeiva! Dec

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sanctus Mtsimbe, Nov 29, 2009.

 1. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #1
  Nov 29, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Tanzania Professionals Network (TPN)

  Nyumbani Ni Nyumbani 2009

  Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi

  Siku na Muda:
  Ijumaa; 18th December 2009;Saa 2.00 Asubuhi -11.00 Jioni

  Mahali:
  Golden Tulip Hotel; Masaki, DSM

  Washiriki:
  Wanataaluma na Wasomi Wote Mnaombwa Kufika Bila Kukosa

  Ada ya Ushiriki:
  TZS 50,000

  Mada:

  Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo

  Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:

  0715 740 047
  Waandaaji:

  TPN – Costech – OUT – UDSM - Serikali

  --------------------------------------------------

  Tafadhali sana angalia post za nyuma kwa ufafanuzi wa ziada hapa:

  Na hapa:

 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Nov 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ndugu Simbe usiwe mvivu hizo link ulizoweka hapo chini kisheria sio mali ya TPN hata kama wewe ulitoa ufafanuzi huo , unatakiwa kuandaa ufafanuzi mzuri weka katika tovuti yako na maelezo ya ziada - - -

  he
   
 3. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtsimbe hili lina tofauti gani na lile la Ubungo plaza?au lile ndo ushaliua tayari? hope ni tarehe hizo hizo au?
   
 4. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hello Mzalendo Shy; kama ukisoma vizuri tangazo kuna kisehemu hiki:

  Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:

  0715 740 047
   
 5. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  Mzalendo RealTZ;

  Lile lilikuwa ni Second Announcement. Hili la sasa ni Final.

  Kumekuwa na mabadiliko ya Venue. Sasa ni Golden Tulip badala ya Ubungo Plaza. Pia itakuwa ni kwa siku moja badala ya siku tatu.
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  so there will be money return kwa waliolipa full 150,000?
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu tovuti unayo haileti maana yoyote kuweka maelezo ya mambo hayo kwenye link tofauti --
   
 8. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  Ndiyo Mzalendo.

  Kama ulilipa TZS 150,000, utapata refund ya TZS 100,000. Alternatively unaweza kuhamisha balance yako katika malipo ya Ada za uanachama. Hata hivyo hiyo ni hiari yako.
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,010
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Je siku moja itatosha kwa kufanya hilo kongamano?
   
 10. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  Mzalendo;

  Ili kumudu gharama za msingi imebidi tupunguze siku na pia tutafocus kwenye mambo muhimu sana na ya kimsingi tu.
   
 11. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  u r right ukizingatia wengi ni watu wa kujiiba makazini, 4days bila mwajiri kuiona return yake ipo kazi hapo!
   
 12. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #12
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Mkuu.

  Maandalizi yote yanakwenda vizuri sana.
   
 13. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #13
  Dec 13, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Tanzania Professionals Network (TPN)

  Nyumbani Ni Nyumbani 2009

  Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi

  Mada: Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo

  1.Namna gani Wataalamu Wanavyoweza Kusaidia Kuweka Vipaumbele vya Kitaifa katika Kujenga Uchumi Imara

  2.Ni Vipi Wanataaluma Wanaweza Kusaidia Watanzania wa Kawaida Waweze Kushiriki Katika Ujenzi wa Uchumi wa Taifa na Kuboresha Maisha Yao

  3.Jinsi Wanataaluma Wanavyoweza Kukabiliana na Changamoto katika Kuleta Maendeleo ya Kiuchumi, Kisiasa, Kielimu, Kijamii, nk.

  4.Namna Gani Wanataaluma Waliopo Nje ya Nchi Wanaweza Kushiriki Kuleta Maendeleo Nchini

  5.Wanataaluma na Dira ya Maendeleo ya Taifa Letu: Tukotoka; Tulipo, Tunakokwenda: Changamoto na Ufumbuzi Wake

  6.Je, Ni Wakati Gani Mwafaka Wanataaluma Walazimike Kuchukuka Hatua Za Kuleta Mabadiliko Na kwa Namna Gani?

  7.Ni Mikakati Gani Watumie Wanataaluma Kupeana Habari na Taarifa Za Uhakika na kwa Muda Muafaka/

  Siku na Muda:

  Ijumaa; 18th December 2009; Saa 2.00 Asubuhi -11.00 Jioni

  Mahali:

  Golden Tulip Toure Drive, Msasani Peninsula

  Washiriki:

  Wanataaluma na Wasomi Wote Wazalendo Mnaombwa Kufika Bila Kukosa

  Ada ya Ushiriki:

  TZS 50,000 (Kwa ajili ya Ukumbi; Chakula; Tea na Snacks, PA, Documents nk)

  Angalizo:

  Viongozi wa Vyama Vya Kitaaluma na Wanataaluma Wanaharakati wa Maendeleo Walioko Mikoani Wamewekewa Nafasi Zao na Watalipiwa Ada ya Ushiriki; Tuwasiliane. Huu si wakati wa Kulaumu. Kama Umeguswa naMada, usikose kuja Kutoa Mawazo yako.

  Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:  0715 740 047 ; president@tpn.co.tz; www.tpntz.org

  Waandaaji: TPN – Costech - TSN– OUT – UDSM - Serikali
   
 14. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #14

 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Nadhani nitaweza kutuma ujumbe kwa kongamano hili.
   
 16. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #16
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mzalendo Mwanakijiji;

  Asante sana; tutashukuru sana kama tutapata ujumbe wako mapema kama moja wa Wanataaluma Waishio Nje ya Nchi. Kuna wengine wachache wameshatuma ujumbe wao na wengine pia wanakaribishwa kufanya hivyo.

  Waslaam

  Mz. SM
   
Loading...