Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,050
- 748
Shukrani sana ila namba 1 na membe hawastahili kuwepo.
Hii ndio maana nimeanza kutilia mashaka siasa za majitaka, sasa hili ni kongamano la wote na wewe hutaki washiriki kutoka vyama vingine, kweli tutafika?