Kongamano la Uhuru Live Kutoka Nkrumah UDSM

Kongamano la Uhuru Live Kutoka Nkrumah UDSM

ushindani wa vyama kati tanzania bara na visiwani unatofautiana
mauji ya polisi yanatokea
 
Mpangala anasema udini. ujimbo na ushindani wa vyama umeleta hali ya sintofahamu hapa nchini
 
kwanza tuwe na miongozo imara bila kujali vyama na pili tuwe na katiba nzuri
 
anazungumzia swala la katiba,tuwe na katiba imara,anasema hili swala sio la kulichezea hata kidogo,ni swala muhimu sana,
 
Prof anampa darasa nape kwamba nchi haina itikadi kwa sasa.Nape huwa anajidai kuwa ccm inafuata itikadi ya ujama na kujitegemea
 
tatu tujenge misingi imara ya kiuchumi ( anatolea mfano wamaskini sana na matajiri sana)
 
umaskini unakua kutoka kutoka 2005 tulikuwa na 43% hadi leo tuna55% kwa watu wa east afrika
 
Mzunguamzaji anayefuata sasa ni Dr.Mkumbo,anazungumzia swala la elimu.
 
anasema madikteta wengi walikandamiza elimu kwa kuwanyima wananchi wao
 
ustarabu, wanaojiheshimu na wenye kuitumia kwa ufasaha zaidi
 
kenya wanatoa elimu bure kutoka primary hadi secondary kwa hiyo anashauri ni bora kutoa ada
 
1.elimu lazima iwe kwa wote(ipatikane kwa wote)
2.elimu lazima iwe bora
3.elimu iwe ya maana
4.wahitimu wa elimu wa ngazi zote za elimu lazima wae na hutu na watumie elimu zao vizuri.
 
Back
Top Bottom