Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,691
Sijapenda Deo alivoongea!ameongea kisiasa zaidi...alikuwa na hamu ya kupigiwa makofi kuliko kufikisha ujumbe!Maprofesa wachangie elimu badala ya harusi?Worse at its best!
Mtiririko wa DEo mbovu sana
Huwezi kujua anaongea nini
huwezi kumwelewa kama akili umekaliaSijapenda Deo alivoongea!ameongea kisiasa zaidi...alikuwa na hamu ya kupigiwa makofi kuliko kufikisha ujumbe!Maprofesa wachangie elimu badala ya harusi?Worse at its best!
Makamba amepewa dakika ngapi? Acha hizoEsther ameniudhi kwa kutokumsikiliza muendesha mjadala,anaonekana anajaziba sana ambazo anashindwa kujizithibiti.. Mwisho wa siku amepageuza kuwa ukumbi wa siasa,amekosea sana.. Sijui kama watamualika tena kuwa mzunguzaji
Esther ameniudhi kwa kutokumsikiliza muendesha mjadala,anaonekana anajaziba sana ambazo anashindwa kujizithibiti.. Mwisho wa siku amepageuza kuwa ukumbi wa siasa,amekosea sana.. Sijui kama watamualika tena kuwa mzunguzaji
Nimefurahi kuona jinsi Esta Wasira alivyotoa hotuba yake na kuchagiza ukombozi wa kiraia 2015
Huyu Esther ni kiboko aisee, sijawahi kuona dada jasiri kama huyu
huwezi kumwelewa kama akili umekalia
Kenge wewe, unashabikia usichokijua umevimbiwa maharagwe ya mbeyaUkiwa na mahaba binafsi huwezi kujua...si kila kuongea ni point!