Kongamano la Uhuru Live Kutoka Nkrumah UDSM

Kongamano la Uhuru Live Kutoka Nkrumah UDSM

dogo ameboronga mwishoni, ana utani na Lowassa, eti aliyezaliwa kabla ya 1961 hapaswi kua raisi wa TZ
Si Lowassa tu hata Membe alizaliwa kabla ya 1991. Hebu angalia mtiririko wa matukio....JK akiwa Kigoma alisema Rais ajaye asiwe wa umri wao, ZZK alisema Rais ajaye awe aliyezaliwa baada ya 1961 na leo Makamba Jr anarudia tena...Rais ajaye awe ni yule aliyezaliwa baada ya mwaka 1961
 
There are currently 176 users browsing this thread. (56 members and 120 guests)

Mkuu vipi tena unachokoza mada huku unaperuzi?............................
 
Naona mjengwa anapinga sheria ya magazeti,anasema hiyo sheria hata wazungu wanatucheka,maana hii sheria waziri akilala na pombe tu asubuhi anafungia gazeti lolote lile,sasa hiii sio sheria.
 
eeehhh Butiku anamwambia Makamba akarudi akasome historia ya ELimu

duuuuuh huyu mzeee anapiga vijembe kimya kimya

Hili lilikuwa swali la kijinga kutoka kwa makamba kuwa eti wazee walikuwa wanafanya nini muda ule kurekebisha ubora wa elimu?
 
Mkandala mwoga mbona hayupo?

chuo kimepoteza mvuto baada ya mukandala kuwa vc,kichwa mayunga nkunya alipaswa kuwa vc,lakini uswahiba wa jk unakiua chuo sasa.mukandala ni mwoga,full of misifa na ni kilaza mzuri tu,lipumba aliliweka wazi
 
eeehhh Butiku anamwambia Makamba akarudi akasome historia ya ELimu

duuuuuh huyu mzeee anapiga vijembe kimya kimya

Hili lilikuwa swali la kijinga kutoka kwa makamba kuwa eti wazee walikuwa wanafanya nini muda ule kurekebisha ubora wa elimu?

Hiyo ndio busara waliojaliwa wazee wetu! Anajibu kwa hekima na tahadhari!
 
Asante mzee BUtiku kwa maneno ya busara

Mzee amamalizia kwa kusema Hizi propaganda za hawa watoto( makamba) kutaka urais na kuacha kufanya kazi ni
ujinga na upumbavu na utaipeleka taifa kokote

Mzee butiku Heshima kwako
 
Mzee butiku alikuwa anaongea kimasihara lakini,ameongea point sana.
 
Filipinjombe ni safiiiiiiiii hapaswi kuwa CCM njoo kwenye mapambano
 
Back
Top Bottom