Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Duh!!! hii ni assignment kubwa kwa dada yangu Regia, ngoja nimsaidie kuna mbunge tuko safari moja kuja Dodoma gari yetu imepata pancha maeneo ya Kongwa tumeamua kutembea kwa miguu sijui kama tutawahi kongamano nafikiri hata Regia hana taarifa. Freema Agyeman upo hesabu yako inasemaje wamebaki wangapi.
 
Afadhali Mwepesi (Zitto) hajahudhuria maana hakawii kupeleka agenda za mkutano BBC au kwa press. Jamaa kachachuliwa mpaka u-Zitto wake wote umeisha, amekuwa mwepesi mno kisiasa. Na hili ndio tatizo la kutamani madaraka kwa gharama zote. Ili kummaliza huyu sisimizi, CHADEMA anzeni kumpa majukumu Prof. Safari. Kama leo hiyo mada ya katiba mngempa jamaa maana ni lawyer aliyekubuhu. Mpeni kazi alafu tuone Zitto atapata wapi nafasi ya kuingiza hoja za ukabila na udini CHADEMA. <br />
<br />
I am sick and tired of that simpleton who thinks he is all that. What a tool!!!
ushauri mzuri, lakini kwa CDM hautekelezeki. Kinacho mponza Zitto ndio hicho kinachomfanya Prof Safari usomi wake usionekane. cdm hawaangalii usomi wa mtu, wao wanacho anagalia je mwenzetu?. Mabere Marando baada ya kufika tu cdm kapewa majukumu pamoja na kuwa background yake imejaa utata, lakini kwavile mwenzetu cdm wamemkumbatia. prof Safari yeye pamoja na usomi wake heshima aliyonayo kwa jamii laki anaendelea kusota.
 
ushauri mzuri, lakini kwa CDM hautekelezeki. Kinacho mponza Zitto ndio hicho kinachomfanya Prof Safari usomi wake usionekane. cdm hawaangalii usomi wa mtu, wao wanacho anagalia je mwenzetu?. Mabere Marando baada ya kufika tu cdm kapewa majukumu pamoja na kuwa background yake imejaa utata, lakini kwavile mwenzetu cdm wamemkumbatia. prof Safari yeye pamoja na usomi wake heshima aliyonayo kwa jamii laki anaendelea kusota.

Acha uwongo....Marando alijiunga kuelekea uchaguzi na ndio maana alipata hayo majukumu ambayo kwa sasa hanayo.......sasa huyu hata mwezi hajamaliza mshaanza kulalama
 
Vipi mwenyekiti wa kile chama anayezunguka na ze comedy!! Yaani Mwenyekiti wa Taifa na kundi la wachekeshaji!

du nimependa sana uwezo wako wa kufikiri na kujibu hoja, wewe ndio Sugu au Lema wabunge makini wa CDM?
 
Wakuu.Habari za Jumapili.

Leo tena tunaendelea na harakati zetu za kujipenyeza na kuwekeza kwa Vijana wa Vyuo Vikuu.Vijana wa CHADEMA Dodoma wameandaa Kongamano kubwa la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma mabalo linaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa African Dream Area D. Mada Kuu katika Kongamano hili ni Vijana Wasomi na Mustakabali wa Taifa.

Watoa mada ni Wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Kamanda Freeman Mbowe-Kiongozi wa Upinzani Bungeni(KUB).

Ukumbi umeshajaa na hivi sasa tupo tunasikiliza the Best Speech ya Martin Luther King tukiwa tunamsubiri Mgeni rasmi afungue mkutano.

Picha za Matukio mtazipata tukiwa tunaendelea.

P100411_1203.jpg

P100411_1147_01.jpg


Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira.

Mheshimiwa Regia Mungu awape nguvu ninyi wakati wenzenu wanaugulia magonjwa ya ubinafsi mko bussy na kujenga nchi. Hapo pressure zao zina panda na kushuka, CHADEMA mwendo mdundo! I salute you my honarable Lady!
 
Jamani next time mumwalike Anna Makinda apate hamasa na burudani. Halafu tena yule mkoa wa Dodoma kichwa maji aliyepiga wanaharakati mabomu. Acheni ubinafsi bana
 
Ushauri mnavyofanya si vibaya, Ila 80% ya watanzania wapiga kura wako vijijini na bado hawajafikiwa na elimu ya Uraia. Ni jukumu la chama cha siasa kuwaeleza vingi si vita. Ni jukumu la chama cha siasa nini maana ya vyama vingi. Ningetegemea DK. Slaa aanze kijiji kwa kijiji kata kwa kata bara na visiwani, bila shaka atayaona matunda yake baada ya miaka miwili tu.

Unafikiri hao vijana wanatoka wapi? Impact ya vijana kwenye mwamko vijijini ni kama nguvu ya sunami. Subiri uone watakavyo kuwa ma ambasador wazuri kwa wazazi na ndugu zao huko rural ndo utaelewa CHADEMA ni chama chenye vision na very objective!
 
Nimewaona wanafunzi wa UDOM wakiwa na magari kibao wakitoka chuoni....hapa Dodoma pana misururu ya magari kwasababu ya hawa waheshumiwa wa CC na NEC chini ya JK,trafiki walishangaa msafara wa magari yakiongozana na bendera za CHADEMA wakawa midomo wazi......
Bravo UDOM mnaonyesha njia kwa vyuo vya Tanzania...UDSM wapiganaji lakini bado hawajajipambanua wazi...Mpiganaji wa kweli haseme wazi kuwa ni mwanachama au mshabiki mkubwa wa CHADEMA....SIO SIRI SASA HIVI UDOM INAWAPA SHIDA NA KUWAUMIZA KICHWA CCM NA SERIKALI YAKE...EVEN COUNCIL YA CHUO ILIYOKAA MWEZI WA TATU IMEPIGA MARUFUKU SIASA CHUONI BAADA YA KUONA UPEPO WA CHADEMA UNAVUMA KUPITA KAWAIDA....
 
Inzi kufia kwenye kidonda ......

Hebu ipe uhai hiyo post yako, kwa mfano kwenye kesi ya kumgombea mke wa mtu bibi mashauzi inamkabili bwana niraha..hapa kidonda ina kuwa ni mashauzi na inzi ni niraha, sasa ipe uhai post yako kwa kufuata mfano huu.
 
Back
Top Bottom