Just asking, nimemmiss kwenye harakati kama hizi! Mbona mnamjibia sana! Au mnaogopa kuambiwa mwamuonea wivu?
Never mind, CDM ina watu makini kuliko Zitto! We can do without him.
Afadhali Mwepesi (Zitto) hajahudhuria maana hakawii kupeleka agenda za mkutano BBC au kwa press. Jamaa kachachuliwa mpaka u-Zitto wake wote umeisha, amekuwa mwepesi mno kisiasa. Na hili ndio tatizo la kutamani madaraka kwa gharama zote. Ili kummaliza huyu sisimizi, CHADEMA anzeni kumpa majukumu Prof. Safari. Kama leo hiyo mada ya katiba mngempa jamaa maana ni lawyer aliyekubuhu. Mpeni kazi alafu tuone Zitto atapata wapi nafasi ya kuingiza hoja za ukabila na udini CHADEMA.
I am sick and tired of that simpleton who thinks he is all that. What a tool!!!