Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

kamua mwanangu... kamua mpaka kieleweke, wao wanaweka TOT plus na masanja CHADEMA wanaweka hotuba za Martin Luther King and then wanadhani wako level moja

wafundisheni hao CCM kwamba quality and standards are never compromised

Nimefurahi sana aisee, I wish ningekua ukumbini

Hotuba za Nyerere tu hawazielewi...sembuse kumjua MartinQ
 
Nimemjibu mchangiaji aliyeomba kujua Wabunge waliopo.Hata hivyo sifungwi wala sikatazi kuorodhesha Wabunge waliopo,kwani dhambi?Tunafanya Kazi kwa Uwazi wala hakuna sababu ya kuficha.Hata hawa wanfaunzi waliohudhuria ningeweza kuwaorodhesha ningefanya hivyo.

Kuna Mbunge mwingine ameongezeka anaitwa Conjesta Rwamlaza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera.

Wapo pia Viongozi wa Chama wa Wilaya na Mkoa wa Dodoma.

Unajingine babito/mamito?

Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
 
Msisitizo uwekwe kwa vijana waliohudhuria wajitahidi kuwazindua na kuwaelimisha wenzao ambao hawakuhudhuria juu ya umuhimu na nafasi yao ktk ukombozi wa mtanzania...bravo UDOM...kura za hapo tu zinatosha kuwatia kiwewe mafisadi

Na wakirudi makwao wawahamisishe vijana wa huko makwao
 
Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Una lako jambo si bure
 
Nimepata taarifa kutoka dodoma kwa UWT nao wanakongamano ukumbi wa kilimani na kuwasomba wanafunzi wa vyuo vikuu wa kike. Kuna binti amehudhuria kaniambia ameenda kula na kunywa tu.
 
Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Kabla Regia hajawataja tungeomba wewe ujitambulisha kwanza kuwa ni nani kwa kuweka jina lako halisi na picha yako hapo ndio itakuwa haki kwa dada Regia kukujibu hili swali lako la sivyo nakuomba sana Regia usijibu hili swali na nakuomba sana Regia usijibu kila hoja ya mtu inayobandikwa hapa please!
 
Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.

Yaani kweli unataka Regia awataje wabunge wote amabao hawakuhudhuria na sababu zao? dah kweli duniani kuna watu
 
Yaani kweli unataka Regia awataje wabunge wote amabao hawakuhudhuria na sababu zao? dah kweli duniani kuna watu

Chadema ina wabunge 43 tu, kama ameweza kulist waliokuwepo, iwaje ashindwe wasio kuwepo.

Labda hamjui cheo chake ndani ya CHADEMA, au mnataka CHADEMA iwe kama CCM, kila kitu siri, siri ya nini kama chama ni cha watu na watu ndio sisi?
 
kazi na iendeleeee! Hakuna kulala hadi kipute cha mwisho cha kuikomboa nchi yetu
 
Asante sana, na ninashukuru kwa kuwa kwenu wawazi, hamfichi kitu. Tunataka hivyo.

Kuhusu kuwa na jingine, jibu ni ndio, ninalo.

Naomba kujua sababu ziliwafanya wabunge wengine wasihudhurie ukiwataja mmoja mmoja na sababu yake.
Dada Regina achana na huyu mtu....atakupotezea mda bure. Huyu ni ccm damu na hapa jamvini anajulikana karibu na watu wote. shit....
 
Jamani msije ugua ugonjwa wa ZITTOPHOBIASIS. Mbona Slaa hayupo? kuweni wavumilivu, labda tusimuone tar 16 kiwanja atakachopangiwa.
Inanisikitisha kuona watu wanazungumzia Zitto, Zitto kila mara badala ya kuzungumzia hoja ya ukombozi na uhamasishaji ambayo ndiyo mada ya uzi huu. Chadema ni chama cha watu wengi na wenye uelewa mkubwa hakitegemei mtu mmoja.Hivyo uwepo au kutokuwepo kwa Zitto si muhimu hata kidogo kwani wale ambao wamefika wana uwezo mkubwa sana kufikisha ujumbe. Ni muhimu kuepukana na hoja za unafsi na tuwe na hoja za utaasisi au utaifa ili kuwa na maendeleo endelevu kama sio dumivu.
 
Mwenyekiti wa taifa, kongamano la area D. Kweli watanzania wana akili sana.
 
Chadema ina wabunge 43 tu, kama ameweza kulist waliokuwepo, iwaje ashindwe wasio kuwepo.

Labda hamjui cheo chake ndani ya CHADEMA, au mnataka CHADEMA iwe kama CCM, kila kitu siri, siri ya nini kama chama ni cha watu na watu ndio sisi?

Suala ni kuhusu kongamano idadi ya wabunge siyo suala kwani wao siyo bata wa kwenda pamoja
 
View attachment 26912

hivi ohio str. biashara ilikwishafungwa

najua unatumwa, ngoja nikuambie, hakuna tusi unaloweza nitukana, kama unataka kuwapa hao jamaa zako nafasi ya kuni ban, mnaweza tu kufanya hivyo bila hata kushusha heshima yako na wazazi wako..nadhani unanielewa ninacho maanisha..wazazi wako ambao unajua wazi ni mimi na wewe tu ndio tunajua kuhusu wao..ok endelea kutukana.
 
Back
Top Bottom