Just asking, nimemmiss kwenye harakati kama hizi! Mbona mnamjibia sana! Au mnaogopa kuambiwa mwamuonea wivu?
Never mind, CDM ina watu makini kuliko Zitto! We can do without him.
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
Jiulize, kama kweli walishinda!!! iweje timu iliyoshinda ivunjwe baada ya miezi michache!!!, kama timu ilifanikisha ushindi kwanini Kikwete asiiache ili wote wafaidi matunda ya ushindi?Walianza na ukabila haukulipa wakaja na ukanda haukulipa, wakaleta singo ya udini inachuja, ikaja uhaini na sasa pamoja na kushinda eti kwa kishindo wamevunja secraterieti yao wenyewe jiulize mwanakijiji, kweli walishinda? na kama walidangaya je kwa nini tuyaaamini maadai hayo yote juu CDM?
More update pls>>>>>>>
Wakuu.Habari za Jumapili.
Leo tena tunaendelea na harakati zetu za kujipenyeza na kuwekeza kwa Vijana wa Vyuo Vikuu.Vijana wa CHADEMA Dodoma wameandaa Kongamano kubwa la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma mabalo linaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa African Dream Area D. Mada Kuu katika Kongamano hili ni Vijana Wasomi na Mustakabali wa Taifa.
Watoa mada ni Wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Kamanda Freeman Mbowe-Kiongozi wa Upinzani Bungeni(KUB).
Ukumbi umeshajaa na hivi sasa tupo tunasikiliza the Best Speech ya Martin Luther King tukiwa tunamsubiri Mgeni rasmi afungue mkutano.
Picha za Matukio mtazipata tukiwa tunaendelea.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira.
Hivi sasa Kamanda Mbowe ndio anafungua mkutano.
Wabunge walioko ni
1.Mbowe
2.Mnyika
3.Lema
4.Wenje
5.Msigwa
6.Silinde
7.Prof Kahigi
8.Joseph Selasini
9.Esta
10.Naomi
11.Chiku
12.Raya
13.Sabreena
14.Kiwanga
15.Kiwelu
16.Christowaja
17.Christina
18.Pauline
19Mrusha sredi
...wao wanaweka TOT plus na masanja CHADEMA wanaweka hotuba za Martin Luther King and then wanadhani wako level moja
Sasa hivi mjadala wa Katiba Mpya ndio uko hewani
Kwa nini umeweka list ya wabunge waliohudhuria?
Wekeni na mada hii Mkutano mwingine mkiandaa: Umhimu wa Wasomi wa Vyuo Vikuu kupata mbinu za kitaalamu katika Kuzomea!