Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari iliyotufikia kwenye meza ya Mwanahabari Huru zinatanabaisha kuwa Mjumbe wa kamati kuu na waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa atakuwa na Press Conference Majira ya saa nane kwenye office yake Mikocheni. Hii ni Baada ya Kongamano la Demokrasia kuahirishwa na yeye alikuwa Mwenyekiti
-----------------------
UPDATE
Mhe. Edward Lowassa: Nchi imekumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua ila Serikali mpaka sasa haijatoa tamko wala tumaini lolote.
Mhe. Edward Lowassa: Lengo la Kongamano lilikuwa kuwaleta Watanzania pamoja. Tunalaani Uongozi wa mkoa wa Dar es salaam kupinga kongamano letu
Mhe. Edward Lowassa: Ni halali kwa Rais kuzunguka nchi nzima kwa kutumia gharama zitokanazo na kodi za wananchi kuwashukuru kwa kumchagua, lakini ni haramu kwa Edward Lowassa kuzunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumchagua hata kama anatumia gharama zake za kutoka mfukoni hii si sawa
Mhe. Edward Lowassa: Rais alipokuwa Moshi alisema amewasamehe wananchi wa Moshi kwa kupigia Kura UKAWA nachelea kujiuliza, kumbe ni dhambi kuchagua viongozi wa UKAWA?
Mhe. Edward Lowassa: Ninawapongeza sana wabunge waliojitokeza kuzungumzia swala la maafa ya mafuriko yanayoendelea kutokea sehemu mbalimbali hapa nchini. lakini pia nimehuzunishwa sana na viongozi wa serikali kutofika maeneo yaliyofikwa na madhara hayo na kuwafariji wahanga.
Dkt Mahanga: Lakini jana saa 2:30 usiku tulipigiwa simu na Manispaa ya Ilala tuahirishe kongamano kupisha shughuli za Kiserikali.

Mhe. Edward Lowassa: Nafurahishwa na spidi ya ukuaji wa Mitandao ya Kijamii hapa nchini. Endeleeni hivyohivyo.
Mhe. Edward Lowassa: Tuna njaa, wananchi wanalia hali ngumu kila mahali. Serikali iliangalie hili kwa umakini.
Mhe. Edward Lowassa: Kufukuzwa kazi watumishi 9,000 kwa vyeti feki huku wamehudumia taifa kwa weledi...UTU utangulizwe kwenye hili.
Mhe. Edward Lowassa: Rais Magufuli kama Amiri Jeshi Mkuu ni Mfariji Mkuu ila hakuja Arusha kwenye msiba. Imewafadhaisha sana sana Arusha
Dkt Mahanga: Tulishapewa kibali kutumia ukumbi wa Anatogro na maandalizi yote ya kongamano yalikamilika.
Dkt Mahanga: Tulitarajia wasomi, wanahabari, wanasiasa na watu mbalimbali wawepo ktk kongamano kujadili hali ya siasa na demokrasia nchini.
Dkt Mahanga: Mhe. Edward Lowassa kama M/Kiti wa kongamano la DEMOKRASIA NA SIASA ZA USHINDANI atazungumza wapi tulikwama, kipi kitaendelea.
Dkt Mahanga: ccm tuliwaalika ila tumeshangaa wao kutoa 'press release' badala ya kupiga simu ama kujibu kwa barua.