Nawashukuru sana Mbogela F Sanga na Nicky82 kwa kuwahabarisha wale ambao hawakufuatilia kwa TV juu ya mdahalo huu mzuri sana.
Naamini hata kwa chama tawala hili litakuwa somo zuri sana ya kule chama kilikotoka na kiendako na matatizo yanayo kipata z sasa hivi.
Kwamba CCM wameonyesha muelekeo wa kuya kubali makosa yao ni mwendo sahihi kabisa kulingana na wakati.Na wasiposahihisha mwendo wa CCM ukaendana na falsafa ya Azimio la Arusha basi ni lazima chama kitadhoofika na kuondolewa madarakani.
Kwa upande mwingine tungependa kuona kongamano la falsafa inayofuatwa na CDM ikoje, na mustakabali wa wananchi katika falsafa yao ikoje.
Falsafa ya AA inakata pande zote,mfanya biashara hawezi kuwa kiongozi katika hali halisi ya kiTanzania, hili liko wazi.
Wafanyabiashara wako
kote CCM na CDM, hili likoje wajameni?[/QUOTE]
Wengi hawataki ku-discuss hapo
unajua kuna tofauti kati ya kuwa mshabiki wa mabadiliko na mtaka sustainable mabadiliko
Niliishawahi kuwauliza hapa JF
https://www.jamiiforums.com/habari-...her-future-rostam-aziz-or-edward-lowassa.html
Kama kawaida yangu, huwa nasoma vitu vingi kwa wanaojiita wanaipenda hii nchi, wakati tunawaza matatizo ya sasa,wengi huwa hawawazi tutayazuia vipi in future generations!
Ulichouliza hapo ni challenge kwa vyama vyote, lakini usishangae hakuna wa kukujibu kwa ufasaha kwa sababu hatuwazi kuhusu nchi hii, ila tunakurupuka. Wafanyabiashara wanaweza kuwa accomodatated kwenye politics, lakini how? how ina a such to convince somebody that it will work? kwa sasa hakuna hiyo system so at a glance wote wanakuwa disqualified..wakubali wakatae.
Nilikuwa mmoja wa washiriki kuandaa makongamano ya leo, nadhani umeona kuna tofauti kubwa ya SIASA na FACTS
Till then