Kongamano la Azimio la Arusha

Kongamano la Azimio la Arusha

Mzee Hashim Mbita: John Rupia alikubaliana na azimio japo lilikuwa na athari kwake
 
Mbita: mkakati ulikuwa ni kuwafanya vijana kulikubali Azimio
 
Dah.
Huyu Mbita anaelezea historia ya Azimio, kumbe kuandamana hata enzi hizo kulikuwepo. Ikabidi Mwalimu awambie waache kuandamana wakafanye kazi sasa.
 
Mbita:
Vijana wa leo wakabidhiwe ule moto wa AA, ili watuhakikishie kuwa nchi yetu inakua na maadili. Nchi ambayo hatuwezi kununulika.

Tumeacha ile siasa ya kujitegema, na ile ya ujamaa leo kila kitu tunataka watufanyie hata kujenga vyoo vya shule zetu.

Haya ni mambo ya aibu, hatuwezi kuishi kwa kuomba kukopa kila kitu.
 
Mbita: azimio lilifundisha kujitegemea, ni aibu leo hii kuomba wafadhili hata kujengwa kwenye natundu ya choo....katiba mpya lazima itoe limit ya kuomba misaada
 
Mbita: kila mtu atalipwa kutokana na jasho lake, anapinga hoja ya yule mwalimu wa DUCE kuwa watu wote waajiririwe kwa mshahara sawa
 
Nimempenda mzee Hasimu Mbita, amedadavua hoja nzuri sana.
 
Hashimu Mbita:
Anaanza na historia ya AA, ufa wa kipato ulianza mwaka 1965-66.
Nyerere aliliona hili alipokuwa akisafiri kwenda Butiama kwa mapumziko. Matatizo ktk chama wakati huo walikuwa John Rupia na Dosa Aziz.

Ilikuwa ngumu kwa Rupia kulikubali AA, but kwa kuwa ulikuwa uamuzi wa chama, akaridhia. Majadiliano yalikuwa makali huko Arusha na Singida. AA halina maana kwamba watu wote wapate kipato sawa-hii ni kupotosha maana ya AA maana hata mkulima wa heka 5 hawezi kuvuna sawa na wa heka 10.
 
Namwona Lwaitama natamani apewe nafasi huyu naye yuko fit.
 
Namwona Lwaitama natamani apewe nafasi huyu naye yuko fit.
Lakini nadhani siku zingine ni vizuri watu wengine wawasilishe hoja, naona watu wengin wameeleza vizuri sana na hii inaonyesha sio hoja ya wachache
 
Nadhani huyu kijana ana hoja hasa kuhusiana na kuunganisha mfumuko wa technolojia na mijadala na mwenendo wa nchi zetu. Ili kuweza kuwa capture vijana basi ni lazima tuingize teknohama katika michakato yetu.
 
Dr. Lwaitama anakuja sasa amepewa dakika 2 anajiita mzee wa kati
 
Makwaia wa Kuhenga anakuja kwa dakika moja. Duu mjadala ni mtamu sana
 
Dr. Lwaitama: Tafsiri ya AA iwe kwenye vyombo vya maamuzi kama halmashauri ya vyama n.k.
 
Lwaitama: yeye anasema ni mzee wa kati , anasema katika mchakato wa azimio jipy muongozo wa Azimio ureflect namna ya kuwapata viongozi wa ngazi za uwakilishi
 
Makwaiya wa Kuhenga: Vjana wawe ktk kundi la wasio nacho ktk mchakato huu wa kutafsiri dhana ya AA.
 
Makwaiya wa Kuhenga: anamnukuu mwalimu kuwa kama pengo kati ya tajiri na maskini likiachwa lizidi kukua basi ni sawa petroli inayosubiri kulipuka
 
Mwaigaga: aliwahi kuhojiwa kuhusu sh. Elfu 30 alizipata wapi enzi hizo za mwalimu?...anasema kumwita muhujumu uchumi ni fisadi ni kupunguza makali ya madhambi anayoyafanya.....anasisitiza yale maono ya awamu ya kwanza yaingizwe kweny katiba mpya
 
Back
Top Bottom