Hawa vijana wa wcb ndio wanaponishangaza hapo sasa daah.....Kununua views sio rahisi kihivyo na ni gharama sana kiukwel,ila ninachoshangaa wasanii wa usafini ikiwa views mil 1 ndani siku moja kawaida,ila akiwa msanii mwningne kanunua views why?..halafu kumbuka dogo kafanya timing ya kuachia nyimbo(kipindi ambacho hakuna hit song inayosumbua)....kuwa trending ni kuwa inaangaliwa sana tz,vp kama inaangaliwa sana nchi zingne kuliko tz?