Sababu alishazitoa Rais wako mpendwa.Hukupata tangazo?Huko kwenu hakuna TBC Taifa?πππKwasababu zipi?
Tunaomba marekebisho hapo kwenye heading imetushitua inasomeka 2000 tofauti na content tafadhali.Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha
Mbona juzi kuna kiongozi nimemsikia akisema wese lipo tusiwe na wengeKupanda kwa bei za mafuta
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha
Kumbe alitoa Go ahead kabisaSababu alishazitoa Rais wako mpendwa.Hukupata tangazo?Huko kwenu hakuna TBC Taifa?πππView attachment 2182792
duh, huko bunju makumbusho nakumbuka nauli ilikuaga TSH 750, kwahiyo Inaenda kuwa 950/=?Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha