konda mtoto!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

konda mtoto!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Deejay nasmile, Mar 30, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa anamsikiliza mtoto wake wakati anaongea na kigari na vitoi vyake vingine. Mtoto akatoa sauti kama ya gari linavyofanya kisha akapiga breki na kusema “Haya mwisho wa gari sishobokei abilia wa mtu toeni makalio yenu katika siti muende makwenu. Na nyinyi mlio kituoni kama mna safari ingizeni makalio yenu katika siti haraka tunawahi mingo sasa hivi. Kama unajijua we ni denti nisikute makalio yako katika kiti nitakupasua bichwa lako” Shakira aliposikia maneno hayo toka kwa mtoto wake akaenda sebuleni kwa hasira na kumsema mtoto wake “Lugha gani hiyo chafu unayotumia humu ndani, nisikusikie tena. Nenda chumbani kwenu ukakae bila kucheza kwa muda wa masaa mawili kama adhabu yako.” Mtoto wake akaenda chumbani huku anatia huruma na kutumikia adhabu yake ya masaa mawili bila ya kucheza. Baadae akatoka na kuendelea kucheza. Shakira alikuwa bado yupo jikoni akamsikia mtoto wake akicheza tena na kuanza kama mwanzo. Yule mtoto alipofunga breki ya kigari chake akaanza tena “Wapendwa abilia watu tunashukuru kwa kuchagua gari letu, Huu ndio mwisho wetu wa safari na tunatumai mmefurahia huduma yetu, karibuni sana. Haya mlio kituoni karibuni sana katika gari letu ndio linaanza safari ya kuelekea mjini, safirini nasi kwa safari ya utulivu na salama” Shakira alipokuwa anasikia maneno haya akafurahi sana kuona mwanae amejeirekebisha, akaanza kutabasamu wakati mtoto anaendelea kuongea, mtoto akaendelea kumalizia kuongea na abiria wanaotaka kupanda gari “Na kama kuna abiria yeyote aliyesubiri kituoni kwa masaa mawili yaliyopita na amekasirishwa na kitendo hicho aende akapeleke malalamiko yake jikoni kuna jitu limeweka makalio yake katika kigoda kazi yake kunisikiliza na kunipa kifungo ninapokosea”
   
 2. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mchamungu: Mungu, hivi miaka milioni mia moja moja ni sawa na muda gani kwako? Mungu: Ni kama dakika moja Mchamungu: Mungu, na shilingi milioni mia moja za kitanzania ni kama shilingi ngapi kwako? Mungu: Ni kama senti moja tu Mchamungu: Mungu, naomba unipe senti moja Mungu: Nisubiri dakika moja
   
 3. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo hana adabu kwa maza wake
  Japo nimefurah sana
   
 4. g

  gody5m Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hakika huyu mtoto alistaili adhabu zaidi ya hiyo kwi kwi kwi kwi
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hahaha dogo alitisha
   
 6. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,804
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  teh teh teh... you make my day
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  DJN umetisha!
   
 8. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Abilia = Abiria
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hiyo ya dogo imekaa vizuri ingawa ilishawahi kupostiwa humu.
   
 10. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina uhakika mama atapotezea kama vile hajasikia mh!
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Dogo ni kichwa mbaya!
   
 12. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  hahahhahh asmte kwa kunizawadia aka mpya mkuu teh teh teh
   
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ako katoto ni bomu la baadae
   
Loading...