haichekeshi!!!!!konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
haichekeshi!!!!!
aisee njoo na nyingine...hii badoAyaaaaaaaaahh..............
Happy new Year Bhokem! angeiweka vizuri ingechekesha...but haikukaa vizuri!Happy New Year.!!!
Mwe! mbona unamkatisha mwenzio hamu? Inachekesha mwayego lete ingine tena
Stori hii haina kitu kinachoitwa 'punchline' kwa hiyo haina nguvu ya kuchekesha! Pengine kuna maneno fulani uliyaacha.Konda wa daladala akiwa ndotoni........"dereve toa..to..toa" huku akigonga kwa nguvu kwenye mlango............kwa kuwa alikua usingizini ule mlango ukageuka mkewe...........
Anamkatisha hamu kwani yeye ndio huyo konda?Mwe! mbona unamkatisha mwenzio hamu?