Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Njoo nyumban uchukuenipe hizo hizo 🤣🤣
Njoo nyumban uchukuenipe hizo hizo 🤣🤣
Ni huzuniJinsi ya kuwapanga wanawake tu na kujua kuwa mnaliwa sanaa
Inasikitisha sanaIle ni tamthilia ya kuangalia mabeki 3, mwanzo alianza vizuri ila tamaa ya kutaka iwe Isidingo inamponza. Kuna siku atajikuta anaishia kuiangalia yeye na waigizaji wake au chumbani kwake na anayempiga mbupu
ShangaaN
Na t.c.r.a wapo wapowapo tuuu wanakula mshaara
Aibu huwa naona mm hapo siangalii naonaga vipande kwny mitandao huko najiuliza mhhh hivi hii ni Tanzania au?Swali zuri,
Wanafundisha uzinzi tu,
Kwakweli..unakuta mume na mke na watoto wanaangalia...Umalaya
Ni aibua nakwambiaUfuska mpk umepitiliza 🌚 wanafundisha watu kuchepuka mule mweeh🙌🏻 Lamatta kashafeli pale
Wew una weza kumtafutia bwana wako mwanamke ampende?Ni huzuni
Kalpana nakumissShangaa
Ile ilikua iishe zamani sana series kama isidingo, kila siku huwa naona inaendeleaga tu.Hivi nyie mnaoangalia ile series ya jua kali huwa mnajifunza nini...
Mbona kumejaa ufuska tuu..
Hivi mikeka yake kwa muhindi inatiki au ndo miyeyusho...!Yaan , ukiwa MWANAUME alafu KICHWANI ukawa kama corbiziiii ni HURUMAAA.
😂😂
Bichwa weee...sijaona siku nyingi comments zako za kuzua taharuki😄Kalpana nakumiss
Hao mabwana wanapatikana kwny kijiji cha Lamata peke akeWew una weza kumtafutia bwana wako mwanamke ampende?
Mm naangalia mpali sana na huba kwa mbaliHao mabwana wanapatikana kwny kijiji cha Lamata peke ake
HaitikiiiiiHivi mikeka yake kwa muhindi inatiki au ndo miyeyusho...!
Mbona hukupelekewa wewe?Wa kusifiwa ni producer wa hiyo tamthiliya na sio media hiyo mjuba. Azam kapelekewa kazi tu arushe hewani