Komba hoi


Hii nyonga atakuwa ameinyonga sana huyu jamaa
 
Alisha lalamika Miaka ya Nyuma kuwa kundi lake la Zamani TANZANIA ONE wasanii wake wengi walifariki kwa UKIMWI

Sasa hiyo Nyonga isije ikawa ndio Mwanzo wa kupungua Uzito na kuacha kulala BUNGENI
 
Hii ni hatari sana, kama viongozi wetu kucheck afya anaenda India na per diem anapata, hawataweza kabisa kuimarisha hospitali zetu na wala hawaoni sababu za kufanya hivyo.
 
Habari inaeleza kuwa alikwenda kucheki afya ndiyo ikalazimika kufanyiwa upasuaji. Tunagharamia kucheki afya ya mtu mzembe anayependa kula ovyo nje ya nchi, halafu madaktari wakisema wanahitaji vitendeakazi tunapanga kuwaua!
 
Kwa hili mtanisamehe wenzangu, mie ninaomba afe haraka kama inawezekana.
Watu hawa wanatumia pesa yetu kupima afya zao nje wakati kuna maelfu na maelfu leo wanakufa ncini kwa kukosa matibabu. Naomba afe haraka sana.
 
Ndio maana wabunge wetu hawajali madaktari wakigoma sababu wanakimbiliaga India na kwingineko.
 
mod wa hili jukwaa, kwa nia njema tu, comment yangu imeyeyuka katika mazingira tata! au komba kaitoa???
 

Uache uchizi na wewe. HAPO NDIO YUKO hOI?
 
Mi nilijua kaenda kufanyiwa upasuaji ili asilale tena bungeni... anyway Get well soon sir ili uje ushuhudie chama chako kinavyokufa " mgeni amelala mgeni, mgeni.... mgeni huyu mgeni..."
Aje ashuhudie nitakavyotangazwa mshindi wa kiti cha ubunge mbinga magharibi pale mbamba bay 2015
 
Uh,,,,,aemkwenda kucheki afya tu????kwanini asingechekia LUGALO au muhimbili au DODOMA????jamani

Swali zuri sana, ndo mana hawa wabunge wa ccm hawajali maslahi ya madaktari maana wao hata check up to nje. Ok achilia mbali hospitali za serikali, tuna private hospital ngapi nchi hii lakini bado wanaenda nje for check ups hizo gharama si wangezitumia kuboresha sekta ya afya hapa nchini?
 
anaenda kupasuliwa mishipa ya fahamu amsahau lulu. teh kwiiii kwiii, ka gari kake kameondoka bure
 
Unene sio afya ndugu, ni matatizo tu.
Uwiano sahihi wa uzito na urefu, ni moja kati ya vizingiti muhimu kutambua afya bora ya mtu.

Mkuu Tanzania ukiwa mnene ndio una afya, kwa hiyo Komba ndio healthiest MP, habari hii kwangu si mpya, naweza kusema nilitegemea kuisikia zamani zaidi ya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…