Komba hoi

Komba hoi

Hiyo ndo adhabu ya kupenda kufanya mapenz kinyume na maumbile.

Kaka unataka kutuambia lulu ni samsung duos? lakini watu wanene wana kibamia kama kidole cha mwisho sina hakika kama yule under 18 kingemtosha
 
huyu si ndie alie taka zipigwe bungeni! anataka awape watu mada case bure mtu mwenyewe kajifia mapema!
 
MBUNGE wa Mbinga Magharibi Kepteni mstaafu, John Damian Komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini India alikokwenda kwa ajili ya matibabu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa Mhe. Komba aliondoka nchini wiki iliyopita.
Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa za Maonesho la Tanzania One Theatre (TOT) alikwenda nchini humo kwa ajili ya kucheki afya yake lakini amelazimika kufanyiwa upasuaji wa nyonga baada ya kushauriwa na madaktari.
“Awali alikuwa amekwenda kwa lengo la kuangalia afya yake lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi akagundulika kuwa ana matatizo ya nyonga, hivyo akatakiwa kufanyiwa upasuaji haraka sana,” kilisema chanzo chetu kimojawapo.
Mmoja wa ndugu wa karibu na Komba, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile yeye siyo msemaji wa familia, alithibitisha hilo.
Huyu hapa anazungumza: “Ni kweli mzee amekwenda India. Tunashukuru Mungu ameshafanyiwa upasuaji na anaendelea vizuri. Muhimu kwa Watanzania ni kumuombea dua apone haraka.”

Ama kweli nchi hii imelaaniwa, hata kucheck afya mpaka tuende India! Mimi siamini na wala hakuna mtu atayeniaminisha, labda niambiwe kaenda huko kufanya shopping.
 
Mungu amsaidie apone, azidi kusinzia zaidi
 
Komba usilale bungeni usikii..!!sasa utalala milele komba!vp umejiandalia single ya mazishi kama ulizomtungia nyerere?kanumba aliandaa single yake.bora ufe wapungue wapuuzi mjengoni!
 
jamani check up tu India! Lowassa Ujerumani, Zitto K Aghakan, Pinda Uingereza, Mkapa Urusi, dr. Slaa Muhimbili, Maji Marefu India. Hawa magamba ni wapuuzi na ndo maana hawarekebishi hospitali zetu. Wavuna jasho, si wavuja jasho tutajiju. Kwa nini wasiende Lugalo au Muhimbili?
 
jaman si wangemleta hapa muhimbil nimfanyie operation then nisahau mkas
 
unakesha na vitoto ka lulu, unatgemea nyonga kuwa nzima kweli???? jirekebishe we baba! nyie kucheck afya india, cc je??? kweli kidumu chama cha mabwepande!

Du!!! Lile jibaba juu ya Lulu!~!!!! sipati picha..
 
MBUNGE wa Mbinga Magharibi Kepteni mstaafu, John Damian Komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini India alikokwenda kwa ajili ya matibabu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa Mhe. Komba aliondoka nchini wiki iliyopita.
Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa za Maonesho la Tanzania One Theatre (TOT) alikwenda nchini humo kwa ajili ya kucheki afya yake lakini amelazimika kufanyiwa upasuaji wa nyonga baada ya kushauriwa na madaktari.
“Awali alikuwa amekwenda kwa lengo la kuangalia afya yake lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi akagundulika kuwa ana matatizo ya nyonga, hivyo akatakiwa kufanyiwa upasuaji haraka sana,” kilisema chanzo chetu kimojawapo.
Mmoja wa ndugu wa karibu na Komba, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile yeye siyo msemaji wa familia, alithibitisha hilo.
Huyu hapa anazungumza: “Ni kweli mzee amekwenda India. Tunashukuru Mungu ameshafanyiwa upasuaji na anaendelea vizuri. Muhimu kwa Watanzania ni kumuombea dua apone haraka.”

duh!! kazi ipo
 
Utaona amerudi punde, wahindi wajanja walikuwa wanamsubili kwa hamu,
watu wanene kama komba huwa wanawakata nyama za pembeni ya tumbo wanatengenezea maputo,
hamumuoni hasan asanali alikuwa mnene zaidi ya komba akaenda india, sasa ndo mwili wake kama kasilimu vile
 
wakiisha irudisha hiyo nyonga kama itakuwa kuishonea bado mzima,waambie wasi sahau kukupima na akili, serikali italipia.
 
Kwa hili la lULU na Kombwe nakua tomaso jamani, duuhhh..baba loote hilo na katoto kadogo hivyo..ataenionesha sms za mapenzi baina ya Lulu na komba ndio nitaamini ..maana hivi hivi bado ngumu kumeza...
 
Adiiamaniiii akifaaa....mimi siweeezi kulia....nitamtuuupa Kagera....awe chakuuula cha Mamba
 
​r.i.p
mbunge wa mbinga magharibi kepteni mstaafu, john damian komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini india alikokwenda kwa ajili ya matibabu, risasi mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa mhe. Komba aliondoka nchini wiki iliyopita.
Komba ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la sanaa za maonesho la tanzania one theatre (tot) alikwenda nchini humo kwa ajili ya kucheki afya yake lakini amelazimika kufanyiwa upasuaji wa nyonga baada ya kushauriwa na madaktari.

“awali alikuwa amekwenda kwa lengo la kuangalia afya yake lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi akagundulika kuwa ana matatizo ya nyonga, hivyo akatakiwa kufanyiwa upasuaji haraka sana,” kilisema chanzo chetu kimojawapo.

Mmoja wa ndugu wa karibu na komba, kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini kwa vile yeye siyo msemaji wa familia, alithibitisha hilo.

Huyu hapa anazungumza: “ni kweli mzee amekwenda india. Tunashukuru mungu ameshafanyiwa upasuaji na anaendelea vizuri. Muhimu kwa watanzania ni kumuombea dua apone haraka.”
 
Back
Top Bottom