kinyumbani kwao wanakamsemo kamoja kanasema "nigonilii mpaka nibungwilii mahi" tafutane mngoni awatafsilie.Kwani keshaamka?
Jamani tumsameheni bure huyu tukunyema alikuwa anaota tu.
Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!
Kwani keshaamka?
Haa haa haaa, kanguruwe kadogo!Vilevile kasema hivi' japo mnasema kanguruwe" ghafla akaomba msamaha kwa waislamu na kusema "kasungura kadogo" hivi ni kweli amekosea au...........!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ama kweli hilo jimbo lililomtuma Komba wana hasara! Hata kama Kenya na Uganda wana barabara chache zenye lami hicho hakitoshi kuwa kipimo cha Tanzania kuonyesha idadi ya bara bara tunazopaswa kuwa nazo. Nadhani mahali sahihi pa kuanzia ni kwenye mahitaji Yetu, halafu tuangalie na uwezo wetu( utajiri wetu). Tanzania tunazo fursa nyingi sana za kiuchimi ukilinganisha na hizo nchi alizozitaja huyo mheshimiwa. Haifai kujilinganisha na mataifa ambayo hayana rasilimali kama sisi. Ni aibu kwa nchi kubwa kamaTanzania kuwa na kilometa 78,000 tu za barabara( zenye lami na zisizokuwa na lami) wakati Taifa dogo tu kama Uholanzi ( ambapo eneo lake ni kama mkoa wa kilimanjaro tu) linakuwa na barabara zenye lami zipatazo urefu wa kilometa 136,827. Kama unataka takwimu zaidi za kufananisha Tanzania na Mataifa mengine ulimwenguni katika viashiria mbali mbali piga hapa. Roadways - Country Comparison - TOP 100 Ni lazima utajisikia vibaya.
kinyumbani kwao wanakamsemo kamoja kanasema "nigonilii mpaka nibungwilii mahi" tafutane mngoni awatafsilie.
hivi miziki ya huyu mtu unaweza kuisikia sehemu gani??hivi club inapigwa??redioni sijawahi kusikia eti inapigwa kama burudani...siielewielewi..au kanisani??okaaaay..kwenye kampeni!!kwa hiyo ni ya msimu
Kwani keshaamka?
<br />Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!