Komba Bungeni

Hajui kua chupi yake akimpa mtoto mdogo itakua shuka! samahan ila wanaudhi.
 
Jamani komba ni mnyama anayekuwa active usiku, tusimshangae sana huyo alieko bungeni alikuwa anaota tu.Ndio muda wake wa kulala aliyemuamsha ndio kakosea.
 
Wa magamba ndo point zao sijui wabunge type ya komba kwa nn wapo bungeni ni misifa kwa wanamagamba wana idadi kubwa ya wabunge lakini wamejaa pumba tu
 
Kwani keshaamka?

komba1.jpg
hapo kafunga tu macho,, ksikiliza yuko makini sana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom