Komba Bungeni

Kama Mhe. alivyoomba mwongozo kwa Mwenyekiti kupima wahem. akili sasa hapa kuna ubishi? sasa wewe unabiiiiiisha! Nasema unabiiisha
 
Kwani amesema katika kilomita elfu 84 ni asilimia ngapi ya hizo kilomita zina lami? Halafu amedadafua vyp tatizo la barabara za lami kwa mikoa ya kusini? Maana ninavyojua mim ni asilimia chini ya 5 ya barabara za huko ndio zina lami au analinganisha tu na Uganda bila kutambta kuwa mkoa kama wa Tabora haujaungwa kwenye barabara yoyote kubwa kwa lami? Mkoa kama wa Shinyanga una barabara mbili tu za lami(ya kwenda Mwanza na ile ya Rwanda) anajua hali iyopo Rukwa na Kigoma? Anywayz acha azuge na miaka yake hiyo mitano.
 
Komba my foot! Hana tofauti na mbunge wa mtera badala ya kuchangia hoja analeta mipasho!
 
Kwanini alinganishe na huko, mimi najua mtu ukitaka maendeleo jilinganishe na waliokutangulia. Lakini sishangai kusikia kauli hiyo toka kwake!
 
Home boy, kweli leo umeniangusha! Unapiga usingizi bila kuwa na uchogo msamaha!
 
Mwotaji aisee! huu ni msiba kuwa na wabunge wengi darasa la saba uwezo wa kufikiri mdogo mnooo!achilia mbali kachaguliwa na wananchi hana uwezo wa kujenga hoja za nguvu na kuzitetea,hebu angalia huyu mwimbaji wa kwaya anapolala na kuamka na barabara za lami kenya na uganda ipo siku ukombozi unakuja tutaja pata bunge la vijana vichwa hawa mazezeta watarudi kuimba kwaya hadi wanapoingia kaburini.
 
Am just wishing Mwimbaji wa kwaya TOT na mpiga drums bungeni Capt. angekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri mambo ya msingi na kujenga hoja za msingi kama UKUBWA WA TUMBO LAKE....!!!

Kwenda School kuna msaada mkubwa sana ktk maisha.....

But ndiyo hivyo tena Capt ni mzigo (KIHOJA) Kwa Taifa, CCM yenyewe na bila kuwasahau kuwapa pole Wana Mbinga....!!!!
Shame of him!!!!
 
hahahahah alaumiwe ajilimuamsha huyu mzee hahahaha
kaongea pumba mpaka nashindwa kujiuzuia kucheka ina maana hiyo lami
itatiwa kwenye nyumba au chooni tu, ccm bana

kenya wana barabara nzuri kuliko sisi na za lami kwa muda mrefu watu wa musoma na mwanza
ni mashahidi wazuri cha msingi je jimboni kwake kuna hizo barabara?
 
Hiyo ndio uchumi wa jk, alisema hayo mwakajana wakati anaongea na wabunge, komba kaibuka nayo sasa
 
hapo anawaza kwaya tuu tieni tieni kwa moyo moja nambari mwisho eeeeeeeenh nambari mwisho ni CCM hahaaaa
<br />
<br />


Nimeipanda hiyo ''tien tien tien kwa moyo moja....''' kweli jf chiboko! Hahahahahahah.....
 
Ngojeni aamke huyu.......

Mrema%2Bchapa%2BUsingizi%2B3%2B%25282%2529.jpg

Hahhahahah alisema bungeni hawaendi kubeba zege kumbe kazi ndio hiii? Hapo akiamka tu anakumbushia kiinua mgongo chake cha unaibu waziri mkuu.
 
hivi miziki ya huyu mtu unaweza kuisikia sehemu gani??hivi club inapigwa??redioni sijawahi kusikia eti inapigwa kama burudani...siielewielewi..au kanisani??okaaaay..kwenye kampeni!!kwa hiyo ni ya msimu
<br />
<br />
Eeeh kila baada ya miaka mitano ndio inasikika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom