Komando wa kike Jeshini

Good,safi sana mkuu tunataka evidence kama hizi sio wengine wanaleta porojo tu.
 
Wapo wadada wa 3 waliopitia mafunzo ya commando kwenye kambi ya TISS ya Zanzibar. Walikuja morogoro (JWTZ) kwa muda ila kwa sasa wako idarani TISS.
 
Kwa Tanzania sidhani kama tuna wa kike komando jeshini ila itakua wapo waliopata mafunzo ya intelejensia.
 
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.

Ni kweli kwamba, kwetu Tz hakuna commando wa kike, ila sio kusema ni dunia nzima, unajua hayati col. muamar gaddaf alikuwa analindwa na akina nani? kiufupi ni kwamba gaddaf alikuwa analindwa na ma-bodyguard wa kike tu, kwahiyo sifa kubwa ya kuwa bodyguard ni kuwa commando.
 
Wapo wadada wa 3 waliopitia mafunzo ya commando kwenye kambi ya TISS ya Zanzibar. Walikuja morogoro (JWTZ) kwa muda ila kwa sasa wako idarani TISS.

Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere
 
Ina maana hata hawa ni Makomando?
 
Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere

Sasa kambi ya zanzibar ni ya nini? Ni kambi ya JWTZ lakini ina kazi maalum. Ingekuwa si kinyume cha sheria na viapo ungepata hints zaidi.
 
Samahani mkuu eight week's course?
 
Sasa kambi ya zanzibar ni ya nini? Ni kambi ya JWTZ lakini ina kazi maalum. Ingekuwa si kinyume cha sheria na viapo ungepata hints zaidi.

Course ya Ukomando ni Ngerengere tu Zanzibar tunajua kinachofanyika acha tusimwage mchele kwenye kuku wengi humu.Tz bado hatuna komando wa kike hata mmoja
 
ooooh nataka haki sawa mbona hiyo. haki hawataki ? wadada mpo fursa hiyo
 
Mkuu TISS hawatoi kozi ya commando. To my knowledge kambi pekee inayotoa Special tactics and commando course ni 92kj ngerengere

Umesahau kikosi cha mtaa wa Lumumba na mafunzo yao ya green guard
 
wengi wa wanawake sio wavumilivu, hawawezi kufuzu ukomandoo! hawatunzi siri...pia miili yao haiwezi kuhimili mafunzo ya ukomandoo
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
 
[h=1]huko majuu mambo hivi
SEAL Team 6 could include women by 2016 under Pentagon plan[/h] [h=2]The Pentagon has said women will be able to compete for positions within Special Operations Forces like SEAL Team 6. The transition won't be simple, officials warn.

[/h]

Female soldiers from 1st Brigade Combat Team, 101st Airborne Division, train on a firing range while testing new body armor in Fort Campbell, Ky., last year. Women may be able to begin training as Army Rangers by mid-2015, and as Navy SEALs a year later under a new Pentagon plan.

Mark Humphrey/AP/File
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…