Komaa concert Live-TV-E

Komaa concert Live-TV-E

Naona Harmonize kapiga show la kufa mtu na nimeona mbadiliko makubwa kwenye show yake....
 
Hawa jamaa E fm unajua wanaweza kuwapindua ki ushawishi na usikilizwaji clouds media. Maana leo kila kona yani mji mzima wazee kwa vijana naona wameshika kasi kuelekea Tanganyika Packers. Nishapokea simu ya watu tofauti kutoka tegeta na mbagala wakiniulizia kuhusu hiyo komaa concert.
Kwanini mnaamini kuwa mtu hawezi kufanya vizuri bila kumpindua mwenzake?
 
HAHAHAHA kuna watu wameshinda million 10 wanapigiwa namba ziko busy......
 
Huu ni utapeli, kila namba wanapiga inatumika??Huu ni utapeli waz waz

.....Free ideas.....
 
Huu ni utapeli, kila namba wanapiga inatumika??Huu ni utapeli waz waz

.....Free ideas.....
Kwani haiwezi tokea? kuna nini cha kushangaza namba kutumika tena hapo uwanjani?
 
Mbona watu wamejaa sana ni bure au?
 
Back
Top Bottom