Kolabo ya Diamond na Alikiba naomba itokee

Kolabo ya Diamond na Alikiba naomba itokee

Domo mashabik mnampa kiburi bure tu wakati mziki hajui,skendo na Kik za kijinga ndo anategemea
Boy unaonekana wa ajabu sana.
Kwa hili nadhani hata ubongo wako unakucheka. Na tena unakufuru maana unaona kabisa ila unajitia kipofu. Hajui hayo mafanikio yanakuja wapi? Kuna mtu angemuita izo nchi anazoenda kama hajui?
 
Mi naona hii beef isingekuepo kama alikiba angekua na akili za idris that is just my opinion
 
Kuweni na adabu, Kingkiba yupo juu sana huwez mfananisha na Mondy anayeimba taarabu.
 
K anaongea kama vile yupo juu ya Diamond, kwa hapo na mdomo kuukunja kunja anaonyesha maneno aliyoyaongea kayatolea kwebte ulimi. Inabidi akubali kuwa Diamond ni mwanamziki wa juu ila hataki anachekesha sana...hakuna kolabo hapo hakuna kusaidiwa kutoka kabisa.

Mwanamziki mwingine angronyesha furaha ya kuombwa kuimba na mtu kama Diamond ila yeye eti ndio achague aka sleep kwanza kwa kweli aote ndoto za kupenda bifu kutaka kupaa. Akubali he is a low class musician kwa sasa.
Cha kujua kwamba diamond alikata mauno ngoma ya kiba asa we povu sijui la nini?
 
Kiba sidhani kama kamaanisha, Diamond sidhani kama ana tatizo!
Diamond ana tabia ya kujishusha, nasema hivi sababu interview ya Kiba na Sporah show kiba alikataa kuimba wimbo wowote wa Diamond. Nimewaona hawa watu ktk interview tofauti, Diamond yuko tofauti kabisa na Kiba licha ya istaa wake ila ni wa kawaida sana, ni mtu wa watu na wa kawaida sana.
Kwan intavyuu ipi dimond aliimba nyimbo ya Ali kiba... Acheni unaa
 
Mtangazaji kamweleza Kiba kwamba walikuwa Club na kina Diamond, Davido na wengine wengi, ilipopigwa nyimbo ya Mwana Diamond alipanda stage kucheza na huku akiuimba huo wimbo, eti mtangazaji akashangaa kwa Diamond kufanya vile.

Ha ha ha, Kiba amejibu akisema yeye anaimba muziki mzuri na anaimbia watu, kwa hiyo hata kama unamchukia utauimba wimbo wake tu.
Ndo ukweli muziki wa Ali kiba ni wa rika zote
 
kibakuli pole dogo mond saivi hafikirii kitaifa anafikiria kimataifa na mbefele huko ulaya we endelea kuwaimbia wanyama porini bila kiki huishi haukui tu ai ndo uko overrated! acha kubana pua imba kiume
Jipen moyooooo...
 
Back
Top Bottom