Kolabo ya Diamond na Alikiba naomba itokee

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Msanii alikiba akihojiwa juu ya kufanya kolabo na Daimond na majibu yake.
kwa kweli inatia moyo kidogo. Najua one day bonge la ngoma litashushwa na history itaandikwa kama ikitokea Chib na Kiba wakipiga ngoma
 
K anaongea kama vile yupo juu ya Diamond, kwa hapo na mdomo kuukunja kunja anaonyesha maneno aliyoyaongea kayatolea kwebte ulimi. Inabidi akubali kuwa Diamond ni mwanamziki wa juu ila hataki anachekesha sana...hakuna kolabo hapo hakuna kusaidiwa kutoka kabisa.

Mwanamziki mwingine angronyesha furaha ya kuombwa kuimba na mtu kama Diamond ila yeye eti ndio achague aka sleep kwanza kwa kweli aote ndoto za kupenda bifu kutaka kupaa. Akubali he is a low class musician kwa sasa.
 
Kiba sidhani kama kamaanisha, Diamond sidhani kama ana tatizo!
Diamond ana tabia ya kujishusha, nasema hivi sababu interview ya Kiba na Sporah show kiba alikataa kuimba wimbo wowote wa Diamond. Nimewaona hawa watu ktk interview tofauti, Diamond yuko tofauti kabisa na Kiba licha ya istaa wake ila ni wa kawaida sana, ni mtu wa watu na wa kawaida sana.
 
Waende mbele huko, tumechoka na hili bifu lao. Watu tunasikiliza nyimbo tofauti kila siku, kama Leo nimeamka na mood ya kusikiliza Sweet Personality Riddim tangu majogoo. Huko ndani kuna reggae collection kuanzia Jah Cure, Zamunda, Chavaughn na wengine kibao.
Haina bifu hii.
 
Walishaimba LEKA DUTIGITE kwa pamoja!!! Na wengi wengineo from Kigoma

King Kiba Balozi wa Wanyama hakuwemo kwenye ule wimbo, alikuwa busy muda wa kuandaa ule wimbo na baadaye baada ya wimbo kutoka alisema kama itafanyika remix na yeye atakuwemo.
 
Mtangazaji kamweleza Kiba kwamba walikuwa Club na kina Diamond, Davido na wengine wengi, ilipopigwa nyimbo ya Mwana Diamond alipanda stage kucheza na huku akiuimba huo wimbo, eti mtangazaji akashangaa kwa Diamond kufanya vile.

Ha ha ha, Kiba amejibu akisema yeye anaimba muziki mzuri na anaimbia watu, kwa hiyo hata kama unamchukia utauimba wimbo wake tu.
 
Na hapo ndio inajionyesha wazi nani mwenye tatizo na mwenzake na ambae anakula kwa kutumia bifu
 
Kwanini mnapenda kumfananisha Our National Icon na mambo ya ajabu ajabu???

Tumpe heshima yake huyu mtu, serikali inatakiwa iingilie kati ataye mfananisha Diamond na utumbo wowote akanyee debe maana ni matusi hata kwenye tasnia.

Unapomfananisha Proffesor na mwanafunzi wa darasa la tatu kwa sababu tu mwanafunzi wa darasa la tatu anakimwandiko cha kischana NI UPUUZI ULIOKITHIRI na MATUSI KWENYE ELIMU...!!!
 
Kwanini mnapenda kumfananisha Our National Icon na mambo ya ajabu ajabu???

Tumpe heshima yake huyu mtu, serikali inatakiwa iingilie kati ataye mfananisha Diamond na utumbo wowote akanyee debe maana ni matusi hata kwenye tasnia.

Unapomfananisha Proffesor na mwanafunzi wa darasa la tatu kwa sababu tu mwanafunzi wa darasa la tatu anakimwandiko cha kischana NI UPUUZI ULIOKITHIRI...!!
ahahahahah...
UMEVUNJA mkuu..!
 
Nguvu kubwa wanayotumia kwa jamaa yao ni kazi bure na anazidi kuwaangusha na ni sawa na kumvalisha maiti suti ili aonekane ni mzima, sio kiba tu bali hakuna msanii yeyote anaesimama na Mond hapa East africa.
Nguvu hii inayotumika kwa kiba bora hata ingetumika kwa Q Chief naamini tungemfikisha mahali fulani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom