playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Chukua hiyo kawaambie wenzio...Mbona umekimbia swal?????
Video ya lupela umeielewaje???
Chukua hiyo kawaambie wenzio...Mbona umekimbia swal?????
Video ya lupela umeielewaje???
Hnjhujajibu swali bado.Chukua hiyo kawaambie wenzio...
Kama unataka unachotaka ww ndo kiwe sheria Mzee huenda havipo sawa kwako bt kama Mwenye nyimbo kaamua iwe vile na sisi tumeipokea hamnaga Shida Mzee... Kawaambie wasiojua kwamba Lupela imefanyiwa documentary na shirika la utangazaji la China yaani CCTVHnjhujajibu swali bado.
Lupela kama audio na lupela kama video do they carry the same meaning?
Haya ntawaambia.Kama unataka unachotaka ww ndo kiwe sheria Mzee huenda havipo sawa kwako bt kama Mwenye nyimbo kaamua iwe vile na sisi tumeipokea hamnaga Shida Mzee... Kawaambie wasiojua kwamba Lupela imefanyiwa documentary na shirika la utangazaji la China yaani CCTV