majany ndoa yangu iko mashakani!!! Mume naona ameridhika kuitwa mume wa marejesho and many others!!![/QUOT
marejesho siunasikia mambo ya mumeo....kumbe hata Kokunyegeza alikua mwenzako!!!!!Ntakuja PM tuone jinsi ya kukupunguzia maumivu!!!lol
Usihofu mpz! Upo peke yako tu!
Hahahahaha!Na wewe taratibu na mdomo wako! Nitaukata kama wa kuku anayekula mayai!!!
sweetlady hayo siyo maneno yako, bali maneno ya valuu!Mekumiss pia mwaya Mr Rocky ! Hao ulowataja ni memba wa jf? Majina mangeni kabisa kwangu!
Mr Rocky hivi unajua kuwa muda huu nipo na sweetlady nampa semina elekezi? nahisi na wewe upo kwenye chupa tayari aiseewamejisajili tuu jana na leo eti wanajifanya wanakujua na wanataka urafiki na wewe sijui wamefikiri huku ni feis buk haswa huyo Mungi anajifanya anakujua sana
Hapa ndio niko kwenye hatua za mwisho... Nishakuingiza kuanzia miguuni nashangaa mabega yanakwama lol. Bado sikati tamaa!
Sasa unabisha nini wakati miguu yako mie naijua?
Navijua vitu vingi kwako Mungi nikiamua kusema hapa ni uzi unaojitegemea lol!Mwulize Lily Flower akuambie miguu yangu hahaaaaa............. mwishowe utasema hata kinani changu unakijua wakati hata kwenye tv hujaiona