Koffi Olomide ndiye Mwanamuziki bora wa muda wote DRC

Koffi Olomide ndiye Mwanamuziki bora wa muda wote DRC

Afadhali...
Maana sikuwahi kuona hata siku moja habari za familia yake...

Ukiwa mpenzi wa ngoma zake huwezi kukosa kusikia majina tajwa hapo juu.

Si yeye pekee, wanamuziki karibu wote wa Congo wana tabia ya kutaja majina ya watoto zao/Family members/Wanasiasa/Matajiri na watu maarufu maarufu.
 
Watajupinga tu, ila huo ndio uhalisia, haswakwa kizazi chakendio kabisaaaa, hana mpinzani.
 
Of course,
Ana mke na watoto, mara nyingi anawataja kwenye nyimbo zake, hasa hasa yule mkubwa wa kike, anaitwa Didi Stone.

Wengine ni kama Del Pirlo Mourinho, Aristoste, Saint James Rolls.
Kuna mwamba aliwahi kusema humu Didi Stone ni ak yake
 
Back
Top Bottom