Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Hata hivyo, alichelewa. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Wakumbuke akina Aurlus Mabele, Felix Wazekwa, Mav Cacherel, Syrian Mbenza, Sam Mangwana, Moni Bile, Lucien Bokilo, Guy Lobe na wengine wengi bila kumsahau Shimita, Lokassa ya Dollar, Ngouma Lokito na akina Nene Tchakou.
 
Jikite kwenye mada mkuu mi sifanyi kazi ya kunengua mi kazi yangu kutengeneza risasi.kwa mwaka huu nimetengeneza risasi laki saba
Kwahiyo kwa kuwa mtengeneza magobori unakuja humu kujimwambafai au?kwanza nafahamu kwa weledi wa
Kitanzania hata anayejipinda kubuni/kutengeneza au kufanya hilo ni mhalifu na pengine tutampa ugaigi kama sii uhaini au uhujumuuchumi.
 
Maskini sio kwa kupanic huku,

Umepewa za uso unatamani hadi uzi uufute hahahahaha this is JF bhana, umbea umbea upeleke Insta huko,

Hadi ulie leo punguwani wewe
Mijanamke ya tandale utaijua tu imekaa kama misukule kujenga hoja haijui inajua kukata viuno tu na kuuza k
 
Janaume zima linakua lishangingi la kusengenya Wanaume watafutaji,

Aibu yakooooooo,
Limepagawa hadi linatumia Ids mbili mbili

Hilooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Lione uso ulivyomshuka kama kafumaniwa na mkwewe,

Badala upambane utoke kwenye chumba kimoja hicho unamuandikia essay Koffie Olomide,

Limechanganyikiwa na madeni,

Pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Anayekaa chumba kimoja nani ahaaa yaani una mawazo ya kimasikini sana,njoo nikupe sehemu ya kulala,kula bure usiku ukiwashwa nachomoka nakupa mjegejo
 
Maskini siku zote hupenda kusengenya walomzidi kipato na umejidhihirisha kwenye hii post,

Umetoka mbio mbio chooni hata hujamaliza Kuchamba, mbio kwenye kiTecno chako kumsema Koffie,

Hilooooooooooo linaona hayaaaaaaa sasa hivi
 
Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Japo siwezi jua nini kinaendelea kwa Papaa,lakini, nina maswali machache kidogo kwako.

1. Suala la yeye kuchoka, hili linahitaji mjadala? Yani ulitaka awe na hadhi ileile kama alivyokuwa kwenye Andrada? Yani huoni ameshachoka hata kimwili?

2. Je, kutumbuiza kwenye umati kama ule pale taifa ni kuchoka? Mbona manguli wengi tu wanapiga live uwanjani, tena hata huko mbele kina Lionel Richie wanakipiga tu uwanjani. Hii unaweza kufafanua kwa mifano?
 
Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Ni nyie tu CHADEMA na MBOWE wenu msioamini kwamba ktk maisha kuna mda unafika YOU MUST RETIRE...
 
eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua
 
Ni nyie tu CHADEMA na MBOWE wenu msioamini kwamba ktk maisha kuna mda unafika YOU MUST RETIRE...

Na nyie CCM endeleeni Na Hamza wenu aliyeamini namna ya ku deal na asiopatana nao ni kwa kutumia mjegeja tu.
 
Koffi wale wanamuziki aliokuwa anapiga nao au kushindana nao wakati ule wengi hawapo tena katika game kwa sababu tofauti lakini Koffi yupo na lazima tukumbuke huyu mzee ametoa album nyingi sana na zote zimekuwa hit ziko nyimbo zinachezwa kwa miaka 30 sasa hili sio jambo la kawaida lakini tukija kwenye show ya Yanga hii alikuja kama special appearance kunogesha sherehe tu ndio maana kwa mara ya kwanza kapiga CD sasa hii ilikuwa ni Mpira isingewezekana akafanya show live maana kawaida yao au sifa kubwa za wa Congo ni kupiga mziki live ni full band na ndio sifa kubwa ya wa Congo wote. Na labda alichopewa pale tu siku ile mtu mwaka mzima hapati. Koffi hatabiriki utakuja kusikia siku tu kadondosha dude...
 
Back
Top Bottom