Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

Kwa mtazamo wako unaweza sema kashuka lakini sio kweli. Kof ana utajili mkubwa Sana ni Zaidi ya bilioni 50 za kibingo .Kuimba na akina Nandy kisiwe kigezo Cha kumshusha.
Hatuongelei kufirisika tunaongelea kushuka kimuziki,pdidy na doctor dre wameshuka kimuziki ila bado kiuchumi wako vizuri sana
 
nadhani kitu anachokifanya koffi ni dream ya kila mtafutaji.hata kama ni wewe una zaid ya miaka 60+ ,pesa unayo ,walio kwenye game saiv ni vijana utafanya nini zaid ya kula bata na kumwaga madini kwa vijana

kwa umri wa papaa mobimba inatakiwa akamue starehe tu,

kuhusu hii ya kwenda kula chakula kwa nandy mara ugali mara sijui kwenye hotpot ya plastic nafikiri madingi wengi wenye pesa hawana time saaaana na vitu vyenye thamani kubwa

angalia hata hapa bongo anaweza pita mzee amevaa kiatu cha buku 5 ila ukisikia story zake mara anamiliki mabasi ,ana vituo vya mafuta,na utamkuta anaenda kula supu kwa mama ntilie .

mwngne unakuta amevaa vaa tu cmple ila utasikia huyu mzee ana semi 6 na zote zinapiga kazi hapo ukijicheki umevaa gucci,air max,na makolokolo mengi mwilini unatamani ukayavue
 
mnajua amelipwa kiasi gani? tuanzie hapo na uo u cheap unauelezea kwa dhana ipi? waarabu wamemlipa mpunga wakutosha hata wangekua watu wawili uwanjani ye pesa tayar ipo mfukoni anahasara gani we jamaa acha ujuaji na kumkosea heshima boss ya mboka Mopao.
 
Nimesoma comments karibu zote kwenye huu uzi na nimegundua wengi wenu mna uelewa mdogo sana kuhusu muziki wa Congo. Kinachosababisha Koffi awe anapatikana ni uwepo wa Combattants huko Ulaya. Hawa jamaa wamesababisha wanamuziki wa Congo washindee kupiga show Ulaya. Kiukweli kwa kiasi fulani wameushusha thamani muziki wa DRC. Mnaosema Koffi kashuka hamjui mnenalo. Koffi bado ana madini mengi sana... hitsong yake ya Selfie miaka michache tu iliyopita kama sikosei 2016 ilisumbua dunia nzima, hatujakaa sawa akaja na Papa Mobimba... kimsingi huyu mzee kushuka ni hadi yeye mwenyewe aamue.
 
Combattants ni nini mkuu?
 
Waswahili ndo mlivo!! ukiwapokea na kuwakubali, ndo inakuwa kama hivi ooohh! cheap! ameshuka kimuziki, amezeeka, mara kafulia!!! ukijiweka mbali na adimu ooohh!! anaringa sana yule!!!

ndo maana Mungu kawapiga banzi la umaskini!! hamchomoki humo! mpaka mchakae! mtatawaliwa tena na tena, make hamnaga shukrani farasi wakubwa nyie!! hata hamjui mlitokea wapi!!..kiasili misukure ya Dunia.

Maskini mnapewa ofa na nyie mjisikie watu ''oooh! kashuka''! pyuuuuu!!!! .......ndo maana Kambona aliwakimbia hivi hivi!!.... sasa angalia jiwe kajiweka karibu na nyie tu yuko wapi???

mlivyo mikosi Nyerere aliposaafu akapewa ofa akaishi swiss Bure, akakataa, akawa karibu saaana na nyie watu!! kwani alichukua muda mlipo mkata jicho, la wala ugali, ngalia sasa kafa!...

pamoja na kuwa na maisha ya hali ya juu!...ndo maana nyie ngozi nyeupe haiwataki kamwe!! piga ua galagaza! Wahindi waku humu miaka nenda rudi lkn kamwe hamkai nao!!

jirani Muhindi/Muarabu/Mzungu/Mpemba ata zungusha kila aina ya ukuta ili mradi tu asikutane na rangi yenye sumu ile nyeusi tiii!! hata kama umezaa na Mzungu wale watoto watajitenga mbayaaaa!!

hawatajua ndugu zako kamwe! ukibisha muulize sarungi!! hata humu hkn muarabu wala Muzungu!.......japo wanajua kiswahili!.....Rangi nyeusi ni shida ila ukiwa mweupe kidogo km kikwete roho inakuwa nzuri kidooogo!
 
Umeupiga mwingi kama karani
 
Combattants ni nini mkuu?
Ni wacongo walioko Ulaya wanaoipinga serikali ya DRC. Waliamua kuhakikisha matamasha ya wanamuziki wa Congo hayafanyiki kabisa Ulaya kwa kuleta vurugu siku ya onyesho. Hiyo hali imepelekea show nyingi kufutwa kutokana na uwepo wa taarifa za kiitelijensia za vurugu kutokea. Koffi Olomide na Werrason ni wahanga wakubwa wa hayo mambo.
 
Koffi hajashuka hata kidogo, kwanza huko Congo show za Koffi kiingilio hua kinakua kikubwa hata afanye show leo,
Juzi kati nilikua naenda Kahama bahati nzuri nilikaa na Mama mmoja Mcongo aisee alinipa madini mengi sana kuhusu wanamuziki wa Congo,
Hao jamaa ni matajiri sana kiasi kwamba familia zao zinakaa ulaya,
 
Back
Top Bottom