TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,800
- 9,041
Wewe jamaa kwahiyo tatizo ilikua kuwatumbuiza kina Yanga pale taifa ndio useme kama kashuka? ...Marekani wasanii wakubwa tu Kina Young Thug ,Migos,Soulja boy tell em,Wiz khalifa sometimes wanafanya show kwenye vyuo vikuu tena kiingilio bure kabisa sembuse hiyo 5000Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status