Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

we binti nilikua sijapata nafasi ya kutambua fikra zako.haupo huru kifikra na unatangatanga,itaku-cost sana ktk siasa za kutumiwa na watu.kimsingi watanzania wote wanapenda kuichangia nchi yao hata kwa pesa nyingi zaidi ya hiyo elfu 1 lakini sio kwa FLAT RATE.kwa vipato vya wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wanasiasa na mabilionea kulipa sawa na mbeba zege,mmachinga,fundi cherehani,muuza vocha kibandani,mkulima wa kijijini na watu wengine wavipato vya chini SIO SAWA.Binti hebu fikiria kua shule za kata ada ni elfu 20 kwa mwaka,mwezi wa 1-6 mzazi anatakiwa kulipa elfu 10,mwezi wa 6-12 mzazi/mlezi anatakiwa alipe elfu 10 lakini WANASHINDWA.
Nakusihi uwe makini kutafakari mambo yanayohusu Taifa letu,achana na mambo ya vyama linapotokea jambo au neno TANZANIA.







inayobaki.lakini wazazi/walezi wengi WANASHINDWA.
 
Naungana na Juliana Shonza bora serikali ikate toka mwezi wa kwanza mwaka huu 2013.

Watumiaji simu tupo kama 7mil sasa ukichukua 7m * 1000* 3=21B . Hapo tayari ushatengeneza kilometa 26 za barabara

Serikali oyee

Ahsanteni
 
Kwahiyo serikali SIKIVU inayoongozwa na Chama Cha Mchina wakishapata hiyoTshs 178bn ndiyo itakuwa mwisho wa hiyo kodi au tutaendelea kukatwa TU?
Na kama ndiyo hivyo tutajuaje kama hiyo 178 imeshajaa au bado au imefikia kiasi gani??
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
umeshazoea kukatwa,kama kahaba kwa malipo kiduchu kule chadema ulkatwa nara ngapi na hapa ccm umeshakatwa marangapi mpaka unatamani kukatwa tena na tcra...naona jinsi ulivyokatwa ingekuwa unatoboka mashimo basi ungekuwa kama chandaruwa...
 
si mmeshahamua kuwa wababe kateni tu kodi ikiwezakana hata head na matiti tax irudishen
 
una uhakika zitaenda kwenye barabara au uswis
 

Tunachangia sana sana tena sana hilo pato la hii nchi tatizo where are they taking our money?tunafaidika na nini haswa?mashuleni tunalipa ada kama kawaida,hospitali we are still paying for the service,miundombinu iko wapi ya nchi?hata kama ingekua ni cent 1 ulioichuma kwa jasho lako huwezi kukubali ipotee bila kuwa na muelekeo,ukitizama uchumi wa tz kuna mtanzania mwenzetu leo hajui anakula nn siku ya leo,kodi twalipa miaka nenda rudi zinaenda wapi??au unaniambia tunalipishwa hio kodi kuwapa watu wengne capital ya kuuza madawa ya kulevya??its time tuwe na human sence n consideration
 
 


Nimegundua! kumbe tatizo lako ni ufinyu wa uelewa; kuwakaba wananchi kwa kutumia simu za mkononi ndio kutapush maendeleo? Unaacha kufikiria rasilimali tulizonazo ambazo zingeweza kumfanya kila mwananchi akamiliki simu ya mkononi bila kuilipia kodi ingawa indirect analipa kodi kwenye kuingiza muda wa maongezi? Huna ujualo ni bora upige kimya tu.
 
Naungana na Juliana Shonza bora serikali ikate toka mwezi wa kwanza mwaka huu 2013.

Watumiaji simu tupo kama 7mil sasa ukichukua 7m * 1000* 3=21B . Hapo tayari ushatengeneza kilometa 26 za barabara

Serikali oyee

Ahsanteni


Kama mnaangalia wingi wa watumiaji ni bora mngesema kila choo kilipiwe kodi maana hakuna asiyeenda chooni, pesa nyingi ingepatikana!
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Mods Mtanipa Msamaha kwa Nitakachokiandika Kwa Mpuuzi Huyu?
 
Wameshindwa kuchukua kodi za madani wakuletee maendeleo,hiyo kodi ya simu ndiyo wataweza!,huyo mwanamke nae fisadi tu.
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". Nchi inayotegemea kutatua matatizo kwa kuwabebesha watu wake mzigo wa kodi zisizokuwa za lazima, imepoteza mwelekeo.
 
Wadau,

Baada ya kupigwa dana dana na kuwekwa Kimya sasa imebainika TRA inazitaka kampuni za simu kulipa Tozo ya kodi za line za Simu (SIM CARD TAX) kwa Miezi mitatu kuanzia Mwezi julai. Na kwa takwimu zaidi ya simu milioni 8 zitafungiwa

Baada ya kusoma Kwenye gazeti la The Citizen na Tanzania Daima, Nimefanya uchunguzi bibafsi na kugundua kuwa suala hilo linapelekwa kimya kimya Jamani, Mbona serikali hii haina huruma kwa wananchi wake. Yaani leo kila Mtanzania akatwe elfu 3 kwenye simu yake tutafika kweli.

Mwisho nimeona kampuni za simu wanasema watakaoshindwa kulipa kodi kuanzia mwezi tarehe 1 Julai simu zao zitafungwa Kuanzia Mwezi Ujao.

Wadau Kazi tunayo, Kwa unyama na usanii huu tunaofanyiwa.
 
machungu ya kiwango hiko hayanabudi kutokea ili ule mwisho wao upate kufika kirahisi ! haya shime wananchi, haya shime wapinga ufisadi , akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa...wameshindwa kutoza vyakutosha kwenye Gas, Dhahabu na Maliasili wanatusukumia mizigo wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…