Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

Hongera sana, mliwanyonga watu, vitu vingine ni kutumia akili kidogo sana. Hata kinyumba cha nyasi chenye umeme kilikatwa kodi. Aliyetoa hilo wazo analingana na ili kauli ya Wakenya kuwa standard 3 wa Kenya akija Tz atakuwa mwalimu wa chuo hapa Tz.
 
Back
Top Bottom