Mkuu, we unafanya kazi nje ama Upo Tanzania, WAtu wanaofanya kazi nje pesa yao huwa inakatwa kodi kwenye nchi husika, na unataka pesa hiyo ikatwe tena Tanzania, ni bora ungeshauri kitu unachokuwa na uhakika nachoAustralia wanafanya hivyo kama unavyotaka wewe, lakini inapotokea huyo mfanyakazi asimamishwe ama mkataba wake ukiisha, serikali ya Australia inachukua jukumu la kumlea yeye na familia yeke (yaani inampa mshahara), sasa kwa Tanzania huyo mtu wa nje hata kama alikuwa anakatwa kodi na kazi yake kama imeeisha serikali itakuwa ipo tayari kumsaidia?