Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,884
- 18,824
Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
inategemea,lakini nenda hapo kuna ofisi inashughulikia mambo hayoNaona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
Au kizimba.Nishawahi kuona mahali wameandikia Kodi kuanzia milioni moja. Utakuta hapo ni banda kaa kuweka Uwakala Maana elewa neno KUANZIA MILIONI MOJA
900 ndiyo zimechukuliwa. Zipo kama 2000Umechelewa
Wai andaa milionWanadai ni frame kama
900 ndiyo zimechukuliwa. Zipo kama 2000
Mimi nimepata Flemu jana kwa 1.2m per monthUmechelewa
Mhhh kaz ipoMimi nimepata Flemu jana kwa 1.2m per month