Nimeona hiyo interview, Mi naona anajitahidi jamani, sie watz tunakasumba ya kuchekana sana sijui kwann, yaani sehemu zote kingereza kikitumika mtu anatizama ni wapi mtu kakosea, English Si lugha mama yetu...halafu shida huwa hatupractice unajikuta unamiss some words, ushauri wangu ni hivi ukiwa wewe kazi Yako inahusisha kuongea lugha fulani au kufanya interviews mara kwa mara make sure unajitahidi kumaster, inawezekana...!