Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

Kwa mtu asiye na akili atalaumu wachezaji.
Makosa yale yale tunaadhibiwa kwa sababu ndiyo mbinu za kocha kupiga pass fupi fupi nyuma.
Mchezaji hachezi mechi zote walau dakika 15 ghafla unampa jukumu kwenye mechi ngumu! Unadhani nini kitatokea!
Kulikuwa na akina Chasambi,Valentino Mashaka walikuwa wa moto hawapangwi walau dakika 15 hadi wanapotea.
Tunahitaji mabeki,na striker mwenye uwezo
Mkuu hii kweli. Yule kipa alitakiwa achezeshwe haha mechi za crdb apate match fitness. Alivyoingizwa alikuwa kama kashtukizwa.
 
Kawekeza tarehe 15.06.2025
kwa mwenendo wa kikosi nilichokiona jana acha niseme "hii hatubebi" "ubaya uboya" walijificha kwenye kivuli cha kujenga timu na ndio hii waliyoijenga au wafumue wajenge upya. Ila nina cha kuwashauri mikia. Wakitaka kujenga timu upya basi waanzie kwa mwekezaji,bodi ya wakurugenzi,try again,mangungu,C.E.O,Msemaji,wachezaji na benchi la ufundi kwa ujumla. kocha msaidizi haiwezekani awe ni yuleyule kila msimu,kama unataka benchi la ufundi basi mwache kocha wa kigeni aje na wasaidizi wake lakini kwa wenzetu mikia matola ni kocha wao msaidizi wa milele.
Viongozi wa mikia msijifiche kwenye kichaka cha kujenga timu,mara final cafcc na uchovu bali wajibikeni na muiache simba ikiwa kidogo angalau iko hali vizuri ila mkiendelea kukaza mafuvu na mkizingatia karia anamaliza muda wake basi mtajikuta mpo katika hali mbaya zaidi kuliko hii ya sasa.
UBAYA UNGESE By ahmed ally mropokaji.
 
Simba siyo timu dhaifu bali Singida ni zaid ya Simba
 
Huu ushauri ulipingwa sana
Screenshot_20241020-075126.jpg
 
Back
Top Bottom