frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 780
- 2,017
pumzisha fuvu hilo idiot
Kwa mtu asiye na akili atalaumu wachezaji.Binafsi sioni tatizo la Kocha, Tatizo lipo kwa wachezaji.
Milio imeanza kusikikaYamekuwa hayo tena
Na hii ndiyo maana sahihi ya neno ubaya ubwela. Ni mwendo wa kulalamika na kukamatana uchawi.Sasa hii ndio Simba ninayoijua mimi. Simba ya kushikana uchawi.
HahahahaTupishe aisee
Anawekezaje mechi ya karibia wiki mbili zinazokuja,hamna kocha paleKawekeza tarehe 15.06.2025
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Anawekezaje mechi ya karibia wiki mbili zinazokuja,hamna kocha pale
Wamekubaliana na uamuzi wote uliofanywa na TFF na kukataa kabisa hoja za YangaCAS wamesema wapi mechi ipangiwe tarehe nyingine?
Aendelee kuandaa timu ndio mpango wa Simba asitafutwe mwingineHuu ndio ukweli mchungu.
Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
Ukishajibiwa na CAS, hauna nguvu yoyote ile ya kuuliza tena swali hilo hilo kwa mamlaka za chini.Kilicho sababisha simba isicheze tareh 8 ni nini?
Timu inaandaliwaTupishe aisee
Mabeki wa nini mna ukuta wa Yeriko, mna hamza, kapombe, mohamed na wengine wengi. Mnahitaji wa nini hao wengine?Kwa mtu asiye na akili atalaumu wachezaji.
Makosa yale yale tunaadhibiwa kwa sababu ndiyo mbinu za kocha kupiga pass fupi fupi nyuma.
Mchezaji hachezi mechi zote walau dakika 15 ghafla unampa jukumu kwenye mechi ngumu! Unadhani nini kitatokea!
Kulikuwa na akina Chasambi,Valentino Mashaka walikuwa wa moto hawapangwi walau dakika 15 hadi wanapotea.
Tunahitaji mabeki,na striker mwenye uwezo
Wapi wamekubaliana? Mnawalisha maneno CAS.Wamekubaliana na uamuzi wote uliofanywa na TFF na kukataa kabisa hoja za Yanga
Berkane FCSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3352228
Simba alisema hata cheza mechi yeyote ya ligi mpaka pale wahusika watakapo chukuliwa hatua za kisheria, je watu hao ni kina nani na wamechukuliwa hatua gani?Ukishajibiwa na CAS, hauna nguvu yoyote ile ya kuuliza tena swali hilo hilo kwa mamlaka za chini.
NB: Mahakamani hakuna rufaa ya rufaa