Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 1,756
- 2,365
Hiki kitu kwel kimekomaa ukikutana nae dawa nikufumba macho ili ufe ukiwa ndotonView attachment 772617
Koboko kama huyu alivyokomaa anauwezo wa kukugonga kichwani ndani ya sekunde mbili,na kama kuna miti karibu huwa anatembea huu ya miti huku akipambana.