Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
Babu huyu kiumbe hua hapendi kabisa kutukanwa, tena mbaya zaidi umemtukania mama yakeDuh basi huyu koboko atakuwa kumamae sana. Siendi Tabora hata nikirogwa...
Jiandae tu leo jioni kumpokea mgeni wako, lazima atoke tabora aje daslam kukujulia hali.