Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kuna mganga mmoja wa jadi kule tabora alkua akimnunua koboko mmoja aliye hai kwa Tsh elfu 50 hadi elfu 65 cash (mwaka 2001)

Sasa
Kutokana hali ya maisha na umaskini kipindi kile,

aisee ile ela ilkua nyingi sana hata kutamkwa kijijini pale.

Hasa hasa kwa vijana wabangaizaji pale kijijini

So
Vijana wengi ilkua ikikaribia kipind cha sikukuu na wakijicheck ndo hivyo mfukoni wamechacha.

Basi walkua wakijitosa LIWALO NA LIWE kwenye kuwasaka hawa koboko.

Kwa bahati mbaya,
Wengi wao walkua wanafariki sana ktk msako huu.

Yaan hata kama wamemkata,
Ni lazima mtu mmoja na zaidi afariki ktk mapambano.

Yaani,
Wakienda 6, wanarudi na koboko mzima Ila wenzao mmoja au wawili wamefariki.

Ila ikitokea kua kila walipokua wakiambatana na mmoja wapo wa watoto wa yule mganga au mganga mwenyewe.

Basi hata mapambano na koboko huwa sio makali

Na ilkua ni lazima wakiingia porini, ni lazima koboko akamatwe bila kumwaga damu.

Na hata Siku moja, hakuna hata mtoto,au mfugo wowote wa mganga yule uliwai gongwa na koboko Kijijini pale

Yaan
NI KAMA VILE FAMILIA NZIMA YA MGANGA YULE ILKUA NA ZINDIKO DHIDI HAO KOBOKO.

Sasa,
Ikaaminika kijiji kizima kua koboko wanawaogopa sana wanafamilia ya mganga yule.

Kwahiyo vijana wengi wasaka tonge,

Wakawa wanapendelea kwenda kuwatega koboko kwenye misitu ambako watoto wa yule huenda kuchunga ng'ombe na kusaka kuni.

SETTING YA MTEGO WA KOBOKO;

Ilkua inachukuliwa Bangi, inachanganywa na Ugoro au tumbaku ya sigara ya nyota.
Kisha inachomwa ndani ya karai.

Baada ya hapo;
Karai linategeshwa kwenye shimo pana lililofunikwa kwa nyasi kavu kwa sapoti ya miti miwili.

Kisha wategaji husambaa na kukaa juu ya miti au juu ya mawe wakitizama kwa makini kila kona

Ili
koboko akiingia kwenye mtego, kamba inavutwa kutegua balance ya karai na koboko kutumbukia kwenye shimo.

Kisha shimo hufunikwa fasta kwa bati,

Bati lenyewe linakua limetobolewa matundu madogo kadhaa.

Kisha pilipili kavu iliyosagwa ,
Huchanganywa na mafuta ya taa kiasi

Then kumwagwa ndani ya hilo shimo kwa kutumia mirija ya jadi iliyochomekwa kwenye vitundu vya bati LA kufunikia shimo.

Baada ya hapo;
Koboko huanza kuvuta hiyo harufu ya huo mchanganyiko,

Mda wa DKK 10-15,
Koboko hutoa sauti kali sana uku akijirusha na kujipigiza huku na kule.
Kisha mda mfupi hupoteza fahamu.

Baada ya hapo Hutolewa kwenye shimo na kuwekwa kwenye mtungi na kupelekwa mahali husika kupokea muamala.

HAPO NDIO INAKUA UMESHAMKATA KOBOKO MZIMA MZIMA.

*********

Siku moja sasa,
MAMBO YALIENDA KOMBO

Wawindaji wa koboko waligeuka kua WAWINDWAJI WA KOBOKO

Tena LIVE mubashara kabisa;

Na mtoto wa yule mganga akiwepo na akiwa mmoja wapo wa waliokumbana na gharika LA Koboko MKOROFI.

KILICHOTOKEA SASA KWA VIJANA;
Walkua ni vijana 6 waliokua na shughur ya kumsaka koboko.

KUPATA SAPOTI YA MTOTO WA MGANGA
Basi vijana walivizia siku ya ng'ombe wa mganga watakapokua wanachungwa kwenye pori lenye koboko wengi.

Basi siku ilpofika walimshawishi mmoja wapo wa mtoto mmoja wa mganga alokua akichunga ng'ombe ndani ya lile pori.

Wakamwambia, wanamwomba awe nao karibu tu wakati wa shughur nzima ya uwindaji wa koboko.

Wakamwahidi kua watamuangalizia ng'ombe wake na kisha kumtafutia&kumpatia kuni wakati atakapokua anarudi nyumbani.

Dogo akakubali;

Basi wale vijana 6 wakagawana majukumu.

Mmoja akaenda kumtafutia kuni dogo,
Mwingine akaendelea kuwachunga ng'ombe wa dogo
Wanne wakaenda kuseti mtego chini ya uangalizi wa dogo kama ngao yao dhidi ya koboko.

BAADA YA MTEGO KUKAMILIKA;
Vijana 4 walisambaa,

wawili juu kabisa ya mawe makubwa( kila MTU jiwe moja) ambayo kwa chini ndo kuna mapango wanakopendelea kukaa sana.

Wawili juu kabisa ya miti miwili mikubwa (kila MTU kwny mti mmoja) kuzunguka lile shimo.

Dogo akaambiwa aendelee na Mishe zake za kuwinda ndege kwa manati maeneo yale around,

Ila asicheze mbali ili,
akitokea tu Koboko dogo aweze kutokea haraka kama ngao yao kuweza kum-neutralize Koboko akianza makeke yake.

Dogo akakubali, na shughur ya ambushi ikaanza.

Baada ya Bange kufuka kwa muda wa DKK 45 mfurulizo hv,

Mzee wa kazi KOBOKO akaanza kuonekana kw mbali akitia timu maeneo yale akiifuatilia ile harufu mdogo mdogo.

Huku akiamsha kichwa Mara kwa Mara kila baada ya hatua chache kama vile akinusa kwa umakini inakotoka ile harufu.

Aisee;
ITAENDELEA BAADAE KIDOGO

niende shortcall
 
Mkuu rudi bana hadi utamu...yaani utafikiri nimo kwenye hilo kundi!
 
Hao nyoka huwa ni hatari sana ,inasemekana kuwa huwa ni wapole sana usipoingilia Uhuru wake ,lkn ikitokea amechokozwa yeye huwa hachagui pa kugugusa haswa kwa wanyama wenzie, anauwezo hata wa kupaa ,ni katiri mno.
Kuna sehemu nilitembelea huko shinyanga ,kahama eneo Fulani linaitwa Uyogo ,sehemu niliyokuwa nimefikia ni kalibu sana na Chemi chemi kubwa ya maji(Huge Spring) ,hiyo chemichemi ipo katika eneo Oevu linalozungukwa na Vilindi, Miti mingi mikubwa na midogo, ni chemi chemi inayoogopeka sana kuendepo kwa sababu ya hao Koboko,
Basi hushinda wakibweka na kulia usiku na Mchana,
Hao viumbe ni hatari sana, kwenye sehemu zot za ZOO nyingi ambazo ambazo nilishahi kuenda sijawahi mkuta huyu kiumbe Kule, maana yasemekana yeye hata hasogeleki ,hanaga urafiki na kiumbe mwingine,
 
Ni kweli, Nyoka wale wenye Sumu kali, wanaweza kukugonga bila sababu, tena ikiwezekana anakufuata hata kama uko mita 100, Sijui ile Sumu inawawasha.
Hua inawasha kwelikweli mfano ni yule ndani ya boxer ambavyo hua anahangaika
 
Kuna mganga mmoja wa jadi kule tabora alkua akimnunua koboko mmoja aliye hai kwa Tsh elfu 50 hadi elfu 65 cash (mwaka 2001)

Sasa
Kutokana hali ya maisha na umaskini kipindi kile,

aisee ile ela ilkua nyingi sana hata kutamkwa kijijini pale.

Hasa hasa kwa vijana wabangaizaji pale kijijini

So
Vijana wengi ilkua ikikaribia kipind cha sikukuu na wakijicheck ndo hivyo mfukoni wamechacha.

Basi walkua wakijitosa LIWALO NA LIWE kwenye kuwasaka hawa koboko.

Kwa bahati mbaya,
Wengi wao walkua wanafariki sana ktk msako huu.

Yaan hata kama wamemkata,
Ni lazima mtu mmoja na zaidi afariki ktk mapambano.

Yaani,
Wakienda 6, wanarudi na koboko mzima Ila wenzao mmoja au wawili wamefariki.

Ila ikitokea kua kila walipokua wakiambatana na mmoja wapo wa watoto wa yule mganga au mganga mwenyewe.

Basi hata mapambano na koboko huwa sio makali

Na ilkua ni lazima wakiingia porini, ni lazima koboko akamatwe bila kumwaga damu.

Na hata Siku moja, hakuna hata mtoto,au mfugo wowote wa mganga yule uliwai gongwa na koboko Kijijini pale

Yaan
NI KAMA VILE FAMILIA NZIMA YA MGANGA YULE ILKUA NA ZINDIKO DHIDI HAO KOBOKO.

Sasa,
Ikaaminika kijiji kizima kua koboko wanawaogopa sana wanafamilia ya mganga yule.

Kwahiyo vijana wengi wasaka tonge,

Wakawa wanapendelea kwenda kuwatega koboko kwenye misitu ambako watoto wa yule huenda kuchunga ng'ombe na kusaka kuni.

SETTING YA MTEGO WA KOBOKO;

Ilkua inachukuliwa Bangi, inachanganywa na Ugoro au tumbaku ya sigara ya nyota.
Kisha inachomwa ndani ya karai.

Baada ya hapo;
Karai linategeshwa kwenye shimo pana lililofunikwa kwa nyasi kavu kwa sapoti ya miti miwili.

Kisha wategaji husambaa na kukaa juu ya miti au juu ya mawe wakitizama kwa makini kila kona

Ili
koboko akiingia kwenye mtego, kamba inavutwa kutegua balance ya karai na koboko kutumbukia kwenye shimo.

Kisha shimo hufunikwa fasta kwa bati,

Bati lenyewe linakua limetobolewa matundu madogo kadhaa.

Kisha pilipili kavu iliyosagwa ,
Huchanganywa na mafuta ya taa kiasi

Then kumwagwa ndani ya hilo shimo kwa kutumia mirija ya jadi iliyochomekwa kwenye vitundu vya bati LA kufunikia shimo.

Baada ya hapo;
Koboko huanza kuvuta hiyo harufu ya huo mchanganyiko,

Mda wa DKK 10-15,
Koboko hutoa sauti kali sana uku akijirusha na kujipigiza huku na kule.
Kisha mda mfupi hupoteza fahamu.

Baada ya hapo Hutolewa kwenye shimo na kuwekwa kwenye mtungi na kupelekwa mahali husika kupokea muamala.

HAPO NDIO INAKUA UMESHAMKATA KOBOKO MZIMA MZIMA.

*********

Siku moja sasa,
MAMBO YALIENDA KOMBO

Wawindaji wa koboko waligeuka kua WAWINDWAJI WA KOBOKO

Tena LIVE mubashara kabisa;

Na mtoto wa yule mganga akiwepo na akiwa mmoja wapo wa waliokumbana na gharika LA Koboko MKOROFI.

KILICHOTOKEA SASA KWA VIJANA;
Walkua ni vijana 6 waliokua na shughur ya kumsaka koboko.

KUPATA SAPOTI YA MTOTO WA MGANGA
Basi vijana walivizia siku ya ng'ombe wa mganga watakapokua wanachungwa kwenye pori lenye koboko wengi.

Basi siku ilpofika walimshawishi mmoja wapo wa mtoto mmoja wa mganga alokua akichunga ng'ombe ndani ya lile pori.

Wakamwambia, wanamwomba awe nao karibu tu wakati wa shughur nzima ya uwindaji wa koboko.

Wakamwahidi kua watamuangalizia ng'ombe wake na kisha kumtafutia&kumpatia kuni wakati atakapokua anarudi nyumbani.

Dogo akakubali;

Basi wale vijana 6 wakagawana majukumu.

Mmoja akaenda kumtafutia kuni dogo,
Mwingine akaendelea kuwachunga ng'ombe wa dogo
Wanne wakaenda kuseti mtego chini ya uangalizi wa dogo kama ngao yao dhidi ya koboko.

BAADA YA MTEGO KUKAMILIKA;
Vijana 4 walisambaa,

wawili juu kabisa ya mawe makubwa( kila MTU jiwe moja) ambayo kwa chini ndo kuna mapango wanakopendelea kukaa sana.

Wawili juu kabisa ya miti miwili mikubwa (kila MTU kwny mti mmoja) kuzunguka lile shimo.

Dogo akaambiwa aendelee na Mishe zake za kuwinda ndege kwa manati maeneo yale around,

Ila asicheze mbali ili,
akitokea tu Koboko dogo aweze kutokea haraka kama ngao yao kuweza kum-neutralize Koboko akianza makeke yake.

Dogo akakubali, na shughur ya ambushi ikaanza.

Baada ya Bange kufuka kwa muda wa DKK 45 mfurulizo hv,

Mzee wa kazi KOBOKO akaanza kuonekana kw mbali akitia timu maeneo yale akiifuatilia ile harufu mdogo mdogo.

Huku akiamsha kichwa Mara kwa Mara kila baada ya hatua chache kama vile akinusa kwa umakini inakotoka ile harufu.

Aisee;
ITAENDELEA BAADAE KIDOGO

niende shortcall
Boss unakawia sana mwaga vitu
 
Kiongoziii umeshia kati mbonaa hebu endeleaaaa
 
Nilisoma kisa kimoja cha kushangaza huko Efhiopia, koboko aligonga kundi la Ngamia cha ajabu wale Ngamia wali guna tu wakaendelea na safari,yule mchungaji wa ngamia naye aligongwa lakini kwa sababu alikuwa wa mwisho alizimia wiki moja baadae akazinduka,inawezekana koboko yule sumu yake ilikuwa imeshapunguzwa.
 
Jameson Mamba (Koboko wa Jameson) huyu koboko ndie anayeishi kwenye misiitu ya mvua.
1280px-JamesonsMamba.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom