TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,484
Mwenzio mmoja kapiga kelele usiku sshv anaona aibu kutoka nje kisa USB cable alipo kua anajigeuza akailaliaNajuta kusoma hii thread jana usiku, kwanza nimelala naota nyoka nimepiga kelele usiku mzima. Mpaka nimemuota mtesi wangu kaniletea nyoka kitandani huku namuona, sijawahi lala kwa shida kama leo.



watu wana vituko sana

