Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hivi kwa nn hawa viumbe inasemekana wako wengi sana Chunya na Tabora?
Chunya ina sehemu kubwa ya misitu tena minene yani kuna siku niliingia pori moja yani lina giza yani mpaka Leo nahisi huenda nilikua mtu wakwanza kuingia lile pori tangu liumbwe na m.mungu ko hayo ni mazingira rafiki maana koboko hapendi sehemu yenye kelele
 
dawa ya koboko ni nyegere(honey budger),koboko akimuona nyegere anakimbia kuokoa maisha yake koz kale kajamaa kanswala kama hakana akili vizuri na ikitokea kakagonga kanazimia kidogo kanaamuka na shughuli inaendelea
 
Huyu vipers ndo yupi
Bongo yupo kweli

HABARI,
"stardust JK,
Hawa viper wapo sana isipokuwa sehemu nyingi duniani isipokuwa Australia, New Zealand, Madagascar, Antarctica,Hawaii na kwenye visiwa vingi kwa hapa kwetu bongo wapo ila ni nadra kuonekana na hata sehemu nyingi wanapopatikana ni wachache,Hukaa sana kwenye maeneo kame.

LUMUMBA
 
Attachments

  • vipers2.jpg
    vipers2.jpg
    9.3 KB · Views: 69
  • viper.jpg
    viper.jpg
    6.4 KB · Views: 64
Chunya ina sehemu kubwa ya misitu tena minene yani kuna siku niliingia pori moja yani lina giza yani mpaka Leo nahisi huenda nilikua mtu wakwanza kuingia lile pori tangu liumbwe na m.mungu ko hayo ni mazingira rafiki maana koboko hapendi sehemu yenye kelele
Nimesikia habar za Chunya kuwa na Misitu ya Kuogofya
 
Curious Black Mamba kwenye YouTube ni ajabu hapo unapomuona koboko anashangaa kumuona panya juu ya mti
Ameshindwa hata kumgonga achilia mbali kumtamani kumla.

Duniani kama siku zako hazijafika ni kushukuru Mungu na kukubali uwepo wake

Siwezi kuiweka hapa ila unaweza kwenda YouTube
 
Back
Top Bottom