From gossip nimesikia JF intelligence inasumbuliwa na Malaria Sugu
hivyo Klorokwini kaenda kuongeza ukali na ubora... And pia kua wako
in harmony kabisa na Asprini, Tablet, Fellow Tablets hata Quinin na
na Tablet Fellow (TF)... Ila tu ana biffu na Sulphadoxine....
hivi nyinyi hamuangalii CNN? mbona kila wikiendi narushwa laivu. Majuzi nilimpaisha invizibo katikati ya programme, kulaleki!
Itakuwa tatizo la umeme, wanashindwa kucharge simu ili waone jf.
Kijana ukiona nyumba yako imezingirwa na polisi usishangae, ni kosa kubwa sana kumfananisha hollywood klorokwini na wakosa umeme.
Klorokwin bwana yuko selo alishikwa pale mitaa ya Kona Baa baada ya kuondoka na mdada mmoja akashindwa kumlipa, ndio natafuta hela nikamtoe kule Tandale anakoishi wamegoma kabisa kumchangia
hehehe ankal bana! yule kabwela wa maeneo anakupakazia mbaya sana, anasema raba yake hujarejesha, halaf pia anakipakaza juzi ghetto uliondoka na colgate yake. Khaa! kasema ukitia guu tena getto anakunadia mwizi. Kimewaka aisee!
Aisee kudadadeki........
Ngoja nimtwangie fellow tablet wangu. Kumbe anamisiwa hivi? Mara ya mwisho nlionana naye mahakama ya Kisutu kwenye ile kesi yake ya ubakaji wa kabinti ka standard foo. Kiukweli nimemmisi hata mimi hasa kwenye taarab ya Melody........ jamaa kwa vidole juu nimemvulia kofia.
Hivi Rostam ni mbunge wa wapi vile?
hehehe fellow tablet bana! umenikonfyuzi na uporoto bana! Uporoto mpaka leo anaishi uraiani kwa msamaha wa mkapa!
Babu me miss Klorokwin sana.. Asprin inadunda tu sijui niongeze dozi.. Au nibadili kabisa.. Nasubiri ushauri wa Doctor ..
hakyababu wewe lazima niuze laptop nikununulie wigi. Khaaa!
Mi hapo ndo wivu unapotakaga kuniua......... huyu swahiba wangu anakupaga nini? Limjamaa lina zali kweli asee....mbona mi hunimisigi?
Kufa tugawe urisi bana! heheheeh urisi wa chupa mbiili za value
Ngoja nami nifanye jitihada narudi na feed bak...
Hivi Lizzy hakukuambia? khaaaa! Lizzy kweli nuksi!
Mmmhhhh babu... Sisemi.... We muulize siku ukim visit Jela..Ila mpaka arudi ntabaki hivi... 🙁
Si unajua yule bwana kwa propaganda hivi Hashycool naye walifanikiwa kumtoa Uhamiaji alipokuwa anashikiliwa maana alikuwa hana passport
mnashauriwa kumsahau Hashy kabisa hapa JF kwani majuzi tu kesi yake imezidi kuripuka baada ya wazazi wake kumkana hazarani.
Kloro nipo nae mpwapwa, computer yake haishiki network.
Halaf pia waambie kwamba umekatafuna kamshahara kangu kote! khaaa! Wale ambao hamjaenda mpwapwa naomba mcancel tripu zenu, Husninyo anachuna kama kiama kesho vile! khaaa! nilikuja na kufuli nane nimeuza sita zimebaki 2 tu.
Huyu jamaa alienda na yule mpiga filimbi wa hamelini.....hataweza kurudi cause alizama mazima baharini...
hehehe Kamanda Kaizeri bana! juzi nakuona bodi ya mikopo ya walemavu wakati hauna hata ulemavu bana! Dah!
Conclusion: waheshimiwa msinitafute kipindi hiki na miezi kadhaa ijayo, niko holidei kwenye space.