njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
Kama sijawaonakama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
View attachment 1907742
wanaonewa na CAF na MotsepeKama sijawaona
eti wanahujumiwa kwa timu gani..?wanaonewa na CAF na Motsepe
Swali lako liko kishabiki sanaEnyimba na Ah Hilal wametuwekaje chini?
sio kila palipowekwa question mark ni swali.Swali lako liko kishabiki sana
Wako 88Kama sijawaona
Wako 88
Hatujawaona wale jamaa.So what!!!!
Hivi ile timu iliyomtambulisha mnafiki majuzi ipo wapi? Yaani viongozi wa ile timu sijuwi wana akili gani, eti wanafikiri kumpa ajira ya kubwabwaja kale kajamaa ndipo timu yao itachukua ubingwa na kuwapiku wazee wa nchi?kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
View attachment 1907742